Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,777
- 35,750
HarmorapaJaman ni nani huyu kwani
Kwa vicheko hivi ndio kajamaa kanajipenyeza kiumaarufuhahahaaaa nilikua sitaki kucheka ila nimejikuta tu cheko limetoka
ie nimetaka kujua kwakweliJaman ni nani huyu kwani
Hata mimi daa huyu jamaa ni kilazaa[emoji3] [emoji2] [emoji1]hahahaaaa nilikua sitaki kucheka ila nimejikuta tu cheko limetoka
Harmorapa ft Juma nature Kiboko ya mabishoHuyu nimemchoka, anatujazia server tu na habari zake za kipumbavu, kanapenda kiki kazi zenyewe hatuzioni, ww mazoezi gani unafanya huku umevaa jeans na mlegezo upuuzi mtupu.