Harmony sex doll

Mwenyekiti wa kile CHAMA Ulaya mashariki,

Kishajichukulia Harmony wake mmoja tayari,

Hataki stress na mtu kabisa
 
milion 33 halafu waweke mate, yakazi gani sasa?

Huyo kafungiwa software ya juice mdomoni
 
Hakyamama hili ni ajabu lingine la dunia, waliongeze tu kwenye yale mengine saba jumla yawe nane.

But she looks good, huku kwetu tunaita Pisi kali 😆

Murmae🤣
 
Harmony Mwingine uyu hapa

Very beautiful
View attachment 1560522
Aisee watengeneze mengi tu. halafu shirika la msaada lisitishe kutoa kondomu za bure litupigie pande watuletee kama haya walau matatu tu tutawashukuru sana.

Hii ndio technology tunayoitaka, sio wanatumia matilion ya pesa halafu wanatutengenezea manuclear ambayo yanakuja kutuua sisi then wanakuja kutuambia tencnolojia imekua
 
Hapa cha msingi ni kuomba lisogezwe lije africa tu maana hii ndiyo empaya ambayo manyemela tumo

Mtu yeyote kutoka africa akinunua halafu baada ya siku mbili au tatu mkasikia analalamika kwenye vyombo vya habari kua mdori wake hauoni mjue ni mimi

Limeibiwa kombe caf sembuse mdori?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…