ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Political immaturity inakusumbua.Watu kama hawa ndio tatizo zaidi ya Lowassa Tanzania
sijakuelew yan lowasa anahusika vp hapaWatu kama hawa ndio tatizo zaidi ya Lowassa Tanzania
Hawa ni wale wasiokuwa na kazi za kufanya wanaoshinda mitandaoni kuanzisha mateam ya majungu. Huwa wanaanza hivi hivi kutengeneza choko choko, kesho na keshokutwa unasikia team harmonize na timu diamond. Kuna haja haya mavifurushi ya chuo kufungiwa maana ndio yanayoleta adha yote hii.mkuu sijui hizi pumba ulizifikiriaje, daaah ww sikiliza nyimbo usifikirie kulinganisha watu, haitakusaidia
Kuna tofautı moja ınabıdı wolper atujuzemi naona wanafanana Karibu kila kitu siku hizi... uvaaji. .. kwenye kuimba.... swaga zao na hata aina ya wanawake walionao lol....
Anahusikasijakuelew yan lowasa anahusika vp hapa
Kwa upeo wako ndogoPolitical immaturity inakusumbua.