steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,182
- 1,596
Inamaana Harmonize kalidhika?Ni muda sasa akina Sugu na Prof Jay watoe nao vibao vyao vya kuhamasisha sio kukalia mashindano ya mpira sijui ujinga gani. Wajiunge watoe ngoma moja hatari ya amsha amsha
Kwani haujui ameshahakikishiwa kupewa jimbo huko kusini sijui kwa NAPE ama kwa Hawa GhasiaInamaana Harmonize kalidhika?
DuhKwani haujui ameshahakikishiwa kupewa jimbo huko kusini sijui kwa NAPE ama kwa Hawa Ghasia
Ndiyo kafanya huo wa hovyo hovyoSa mchizi asipige hela?
Njaa aliokua nayo yupo tayari kufanya wimbo wowote nadhani
Ndio msimu wa kuvuna huu. Hakuna kupoteza muda ila ajue atapata hela atapoteza wafuasi wengi...amuulize yule kupiga honi sijui Malow kaishia wapiSa mchizi asipige hela?
Njaa aliokua nayo yupo tayari kufanya wimbo wowote nadhani
Yupo tu anajiita mkongweNdio msimu wa kuvuna huu. Hakuna kupoteza muda ila ajue atapata hela atapoteza wafuasi wengi...amuulize yule kupiga honi sijui Malow kaishia wapi
Vipi kuhusu Diamond hajashuka bado maana ni tangu 2010?Ndio msimu wa kuvuna huu. Hakuna kupoteza muda ila ajue atapata hela atapoteza wafuasi wengi...amuulize yule kupiga honi sijui Malow kaishia wapi
Ajabu hawaioni almas alipiga sana kampeni za chama tawala,hivi ameshuka au badoVipi kuhusu Diamond hajashuka bado maana ni tangu 2010?
Kala yeye ameshatoa pini tayari la kusifia ujenzi wa madaraja,njaa haina adabu.Sote tunajua nini kitamtokea asipo imba mapambio. Soon utaona Diamond na Ali Kiba nao wametoa nyimbo za CCM