benaboy Member Joined Oct 24, 2015 Posts 42 Reaction score 32 Jun 23, 2022 #1 Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu.
Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,051 Reaction score 831,654 Jun 23, 2022 #2 Ivumayo sana hupasuka... Kilio kitaenda kwa Harmo na si Kajala siku maji yakikorogeka..!
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,396 Reaction score 103,823 Jun 23, 2022 #3 Zipo wapi hizo picha?
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,326 Reaction score 52,042 Jun 23, 2022 #4 Sasa mbona Sasa mbona Sana mbona hizo pichu hujaweka?
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,116 Jun 23, 2022 #5 benaboy said: Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu. Click to expand... Wamepima?
benaboy said: Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu. Click to expand... Wamepima?
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,343 Jun 23, 2022 #6 Tafuta pesa bwashee.
Sikudokoa Mboga yako JF-Expert Member Joined Mar 13, 2022 Posts 462 Reaction score 953 Jun 23, 2022 #7 benaboy said: Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu. View attachment 2269516 Click to expand... Wamerudiana?.
benaboy said: Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu. View attachment 2269516 Click to expand... Wamerudiana?.
Mlundilwa Jr JF-Expert Member Joined Dec 11, 2019 Posts 3,413 Reaction score 5,319 Jun 23, 2022 #8 Mapenzi uchizi
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Jun 23, 2022 #9 Kila mtu ale kuku wake.
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,174 Reaction score 26,912 Jun 23, 2022 #10 Mdogo wetu kanogewa nyie. Huyu Kajala atakuwa mtamu sana sio bure
Bangida JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 2,441 Reaction score 11,490 Jun 23, 2022 #11 Hivi mtoto wa Kajala bado ni "mtoto" kweli??🤔🤔🤔. Kama bwana Konde aliweza kuvaa thiketi hadharani, usijali kabisa kuhusu watoto wao.
Hivi mtoto wa Kajala bado ni "mtoto" kweli??🤔🤔🤔. Kama bwana Konde aliweza kuvaa thiketi hadharani, usijali kabisa kuhusu watoto wao.
Cymon Taylor JF-Expert Member Joined Apr 3, 2019 Posts 1,754 Reaction score 3,427 Jun 23, 2022 #13 Wenyewe wanasema eti ana "tetemente"
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,258 Reaction score 9,728 Jun 23, 2022 #14 His Humbleness said: Mdogo wetu kanogewa nyie. Huyu kajala atakuwa mtamu sana sio bure Click to expand... Hakuna cha utamu wowote hapo Ujinga mtupu
His Humbleness said: Mdogo wetu kanogewa nyie. Huyu kajala atakuwa mtamu sana sio bure Click to expand... Hakuna cha utamu wowote hapo Ujinga mtupu
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 35,830 Reaction score 47,150 Jun 23, 2022 #15 benaboy said: Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu. View attachment 2269516 Click to expand... Aibu kwa wahusika
benaboy said: Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu. View attachment 2269516 Click to expand... Aibu kwa wahusika
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,396 Reaction score 103,823 Jun 23, 2022 #16 Ndio kina nani hao huko Daslamu?
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 7,234 Reaction score 12,811 Jun 23, 2022 #17 benaboy said: Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu. View attachment 2269516 Click to expand... Ubovu wa picha uko wapi? Unaogopa kifua?
benaboy said: Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu. View attachment 2269516 Click to expand... Ubovu wa picha uko wapi? Unaogopa kifua?
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,609 Reaction score 8,298 Jun 23, 2022 #18 The Icebreaker said: Ndio kina nani hao huko Daslamu? Click to expand... Kaja na Konde
Sonia G JF-Expert Member Joined Jul 13, 2014 Posts 3,081 Reaction score 3,940 Jun 23, 2022 #19 Mungu amsaidie asiwe makmuga
big dreamer JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 401 Reaction score 1,089 Jun 23, 2022 #20 The Icebreaker said: Ndio kina nani hao huko Daslamu? Click to expand... Ila watu wa JF bana sometimes wananifurahishaga sana,, sometimes wanajifanya hawajui kinachoendelea huko dunia kwenye mambo ya usanii na Sanaa
The Icebreaker said: Ndio kina nani hao huko Daslamu? Click to expand... Ila watu wa JF bana sometimes wananifurahishaga sana,, sometimes wanajifanya hawajui kinachoendelea huko dunia kwenye mambo ya usanii na Sanaa