donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
Habari wakuu,
Tangu huu wimbo umetoka umekua ukipata airtime ya kuvente na ni ngoma ambayo ni nzuri kwa kuisikiliza. What caught my attention ni pale mwishoni mavoko anapoimba 'wanangu wa panya road...'
Nafikiri mavoko needs to make an explanation alimaanisha nini pale, je ni hawahawa panya road ambao wameshadhuru na kupora mali nyingi za raia wasio na hatia au ni panya road gani anawazngumzia.
And if ni wengine, je hao aliowarusha to which extent wako affiliated na wale vibaka? Maana ni uncommon kujiita jina la kihalifu hivi hivi tu.
Eti mtu kwa mfano unajiita jambazi lakini wewe si jambazi kweli.... ni vitu vya kujiuliza kidogo sababu even little details could lead to something bigger than expected...