Mbona kitambo since Harmonize anatoa album alishasema anatamani kuzindua album yake kwa style hii hapo viwanja vya uhuru?Nilisikia Bhaghdad akiongea kufanya kitu kama hiki..kondeboy bhana
🤣🤣🤣🤣🤣 Sioni mbaya akicopy Hilo wazo kwa Bhaghdad Cha msingi akifanye kwa ubora kuliko aliyemcopy isije tu baadae Hilo wazo kiliishia njiani Kama project zake nyingi zilivyoishia njianiNilisikia Bhaghdad akiongea kufanya kitu kama hiki..kondeboy bhana
Okay kila la kheri kwake..Mbona kitambo since Harmonize anatoa album alishasema anatamani kuzindua album yake kwa style hii hapo viwanja vya uhuru?
Na kama watu wangekua na mawazo haya, wasafi wasingefanya wasafi festival kwasababu kuna fiesta.
Mkuu duniani hakuna idea mpya .. Huyo Baghdad mwenyewe itakuwa kadukua hiyo idea somewhere .. Yeye anaweza kufanya yake then na wengine na wao wakafanya yao "Nilisikia Bhaghdad akiongea kufanya kitu kama hiki..kondeboy bhana
Naelewa..ila mimi nilichoshangaa ni kuwa venue aliyoitaja bhaghdad ni uhuru na tarehe ni hizohizo kama sijakosea..Anyway,kila ya kheri kwakeMkuu duniani hakuna idea mpya .. Huyo Baghdad mwenyewe itakuwa kadukua hiyo idea somewhere .. Yeye anaweza kufanya yake then na wengine na wao wakafanya yao "
Aahghh bwana weee hii Game ya bongo inaendeshwa kwa fitina nyingi sana wee acha tu mkuuNaelewa..ila mimi nilishangaa ni kuwa venua aliyoitaja bhaghdad ni uhuru na tarehe ni hizohizo kama sijakosea..Anyway,kila ya kheri kwake
Ikiwa wewe nimmojawapoWatanzania sijui kwanini tumekuwa watu wenye chuki kiasi hiki daahh!!! So sad
Kwa mtu anayetujua wamakonde hawezi kumshangaa Harmonize.....sisi ndivyo tulivyo papara nyingi.Bwana mdogo katangaza kuleta Carnival tarehe 28/11/2020 akishirikiana na TVE
Vitu vya huyu dogo vingi ni vya kukurupuka yaani kama kasikia mtu anatajataja na yeye ana wahi na anasema uwanja wa uhuru na litakuwa la siku tatu. Wasanii watakaopenda kushiriki wajiandikisha kwa BDozen pengine bure au watalipwa
Matamasha mengi huwa yanaangalia nyakati Oct 28 kuna uchaguzi then 28 Nov kuna tamasha kubwa hii ni sawa sawa na tamasha lake la June lililopotea hewani. Vitu vingi kwa msanii huyu haviishi vinapotea hewani hewani
Hawa wanalengo la kumsaidia lkn waangalie sanaaa likibuma watamshusha mazimaaa
Yule meneja wake Sebastian Ndege anasemaje kuhusu hilo ?Bwana mdogo katangaza kuleta Carnival tarehe 28/11/2020 akishirikiana na TVE
Vitu vya huyu dogo vingi ni vya kukurupuka yaani kama kasikia mtu anatajataja na yeye ana wahi na anasema uwanja wa uhuru na litakuwa la siku tatu. Wasanii watakaopenda kushiriki wajiandikisha kwa BDozen pengine bure au watalipwa
Matamasha mengi huwa yanaangalia nyakati Oct 28 kuna uchaguzi then 28 Nov kuna tamasha kubwa hii ni sawa sawa na tamasha lake la June lililopotea hewani. Vitu vingi kwa msanii huyu haviishi vinapotea hewani hewani
Hawa wanalengo la kumsaidia lkn waangalie sanaaa likibuma watamshusha mazimaaa
Kwa mtu anayetujua wamakonde hawezi kumshangaa Harmonize.....sisi ndivyo tulivyo papara nyingi.