Mkuu uyu jamaa alikua anawatukana block ya wachafu kuliko wakubwa zake
Akasema wao ni maji usipoyaoga utayanywa
Mitusi mingi aliitoa kuliko maboss zake
Unadhani itakua rahis kupewa nafas kubwa block wachafu.
Jibu ni kwamba sio rahis
Kwanza kipaji ni kidogo sana
Pili fans wengi atawaacha wasafi
Tatu pale mawingu wanapenda ukubwa na dogo hana heshima kila mtu anadoubt heshima yake na watu wakarib au maboss zake.
Only option atulize kichwa kama anabanwa aombe mkataba mpya utakaompa nafasi kubwa
Kama wanavofanya kina kanye west drake na ilivokua kwa lilwyne
Awe na lebel chin ya wcb itakayosimamia kazi zake na kutoa mzik wake
Kuliko kujitoa mazima