View attachment 1166017View attachment 1166017 12 Marook Harmonize namwona kama sisimizi kwa simba diamond platnumz yule NASIBU ABDULI ACHANA NAYE...JUZI MWANZA HARMONIZE ALIPIGA NYIMBO MBILI TU WATU WAKAWA HAWAMUELEWI..MOND ALIKAAAA STEJINI MASAAA MANNE.JUMAPILI AKAENDA BURUNDI ALIKUWA SIMBA BIN LADEN PEKEEE YAKE YAAANI DIAMOND PLATNUMZ HIM SELUFU.ONA HUO UMATI....NARUDIA TENA MWENYE VIBE NA WATU NI MOND HAO WENGINE BILA MOND HATA BAR ZA MANZESE HAPA HAWAJAZI ANGALIA HIZI VIDEO PLUS PICHA...DIAMOND WANYOOOOOOSHE MPAKA MAJI WAYAITE MMMAAAAAView attachment 1166017 View attachment 1166018
We jamaaaa 12 Marook una macho lakini huoni sasa dawa yako ni moja harmonize na domo wapige show wote same city DSM,nairobi au kampala tuone nan atakayeahirisha show...kama tu wajinga makumazani mawingu miji miwili tofauti show fiesta ilibuma sembuse kondeboy harmonize vs SIMBA BIN LADEN ndo mana yuleejamaaaa wa3iyoooo kaaamua kuwa mpole mana RHUMBA hata kiduchu
Yeah ni kawaida katk music lil wayne alikua anamiliki Label yake ya Young money ila still alikuwa chini ya slim Ronalds na Birdman Cash money records,Young thug anamiliki YSL records ila still yupo chini ya label ya Gucci mane 1017 na Cash money records,Drake pia ana label yake,Meek mill pia ni kawaida tu