H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 17,022 Reaction score 23,670 Feb 8, 2020 #21 Kibumbula said: Moto moto remix ya Domo vipi sio singeli au Sent from my TA-1024 using Tapatalk Click to expand... Harmonize katoa utumbo
Kibumbula said: Moto moto remix ya Domo vipi sio singeli au Sent from my TA-1024 using Tapatalk Click to expand... Harmonize katoa utumbo
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,868 Feb 9, 2020 #22 Tangu Harmonize atoke WCB nyimbo yakwanza kutoa nikaona katoa nii hii singeli yake,sipendi singeli wala mziki wa singeli ila hapa katoa hit huko kwingine kote alikua anagusa gusa ila hapa kwenye singeli Kagusa
Tangu Harmonize atoke WCB nyimbo yakwanza kutoa nikaona katoa nii hii singeli yake,sipendi singeli wala mziki wa singeli ila hapa katoa hit huko kwingine kote alikua anagusa gusa ila hapa kwenye singeli Kagusa
Champ_2 Member Joined Jan 29, 2020 Posts 77 Reaction score 165 Feb 9, 2020 #23 CONTROLA said: Tangu Harmonize atoke WCB nyimbo yakwanza kutoa nikaona katoa nii hii singeli yake,sipendi singeli wala mziki wa singeli ila hapa katoa hit huko kwingine kote alikua anagusa gusa ila hapa kwenye singeli Kagusa Click to expand... Huh hamna kitu hapo. Kaharibu singeli ya watu Sent using Jamii Forums mobile app
CONTROLA said: Tangu Harmonize atoke WCB nyimbo yakwanza kutoa nikaona katoa nii hii singeli yake,sipendi singeli wala mziki wa singeli ila hapa katoa hit huko kwingine kote alikua anagusa gusa ila hapa kwenye singeli Kagusa Click to expand... Huh hamna kitu hapo. Kaharibu singeli ya watu Sent using Jamii Forums mobile app
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,868 Feb 9, 2020 #24 Champ_2 said: Huh hamna kitu hapo. Kaharibu singeli ya watu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... singeli ya nani?
Champ_2 said: Huh hamna kitu hapo. Kaharibu singeli ya watu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... singeli ya nani?
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 17,022 Reaction score 23,670 Feb 9, 2020 #25 CONTROLA said: singeli ya nani? Click to expand... Siwezi kukujudge cos kila mtu anasikio lake ila kwa upande wangu hiyo ngoma ni mbaya.
CONTROLA said: singeli ya nani? Click to expand... Siwezi kukujudge cos kila mtu anasikio lake ila kwa upande wangu hiyo ngoma ni mbaya.