Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,460
- 21,179
Jamani msijisahaulishe, hivi mmesahau tukio la harmonize kugoma kushikana mikono na Ali Kiba? Sasa leo Bosi Sallam amegoma kushikana mikono na harmonize imekuwa nongwa
Yeye mwenyewe ameshawahi kukatisha show kisa alimuona bosi Sallam ameingia na akamtumia kibaraka wake H mama kuongea maneno ya shombo.
Unafiki haufai, tujitahidi kuwa real itapendeza zaidi