Boss ni kusaga, kina Tale na Salam waliwekwa na Ruge. Imagine Fela ni manager wa Diamond anafanya kazi gani? ana mipango gani? ni watu ambao aliwaweka Ruge na leo mkataba unamtafuna Dai.
Na yale magari anayotoa zawadi kwa wazazi wake na wasanii wenzie!!?? Kataa/kubali, ukweli ni kuwa maisha ya Harmo yamebadilika sana chini ya WCB. Issue ya kuondoka si dhambi ila issue ni anaondokaje?
Kama mkataba wake na wasafi umeisha basi yuko huru kutosaini mkataba mwingine. Tunachotakiwa ni kuheshimu maamuzi yake, na sio kuanza kumtabiria mabaya.
Fikra za kimasikini. Kusaga hana utajiri huo unaofikiria wa kummiliki kila mtu. Kwa taarifa yako Mondi kwa hatua aliyofikia kiuchumi anakaa dawati moja na huyo tajiri wako.
Wcb sio mungu tambua Hilo km suala ni kumsaidia hata diamond apo alipo fika kuna watu wamemsapoti weee Nani mpaka umtabirie mwenzio kupotea!harmonize songa mbele wamakonde wote tuko nyuma yako
Sio mbaya kwan hata mentor wake alikikuwa under watu kitambo akajikataaa ndo aka build empire yake SASa mwamba nae kaota ndevu mbili acha akajenge empire yake tuu