brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Msanii chipukiza kutoka lebo ya WCB wasafi Harmonize ameingia kwenye mapenzi na mrembo wa bongo muvi Jackline Wolper, walianza mahusiano wiki kadhaa zilizopita kwa siri kubwa.
Mashabiki wa pande zote mbili wameoneka kumlaumu Wolper wakidai anambemenda kijana huyo wa kimakonde kutoka Mtwara kwa kuwa wamepishana umri mkubwa.Wolper mwenyewe amesema haitaji ushauri wa mtu kuendesha maisha yake ya mahusiano.