Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 5,196 Reaction score 19,461 Sep 6, 2019 #1 Inasemekana msanii Harmonize a.k.a Kondeboy anafunga ndoa leo kwenye ukumbi wa mlimani city. Inasemekana ndoa ni ya waalikwa wachache sana hata WCB hawajaalikwa. Mwenye taarifa za uhakika azishushe hapa. ————————————————————— Updates: Sasa sio tetesi tena, msanii Harmonize amefunga pingu na mpenzi wake wa siku nyingi Sara ambaye ana asili ya Italy. Sherehe ya harusi imefanyika usiku huu wa tarehe 7/9/2019 katika ukumbi wa uliopo jijini Dar. Your browser is not able to display this video. [/b]
Inasemekana msanii Harmonize a.k.a Kondeboy anafunga ndoa leo kwenye ukumbi wa mlimani city. Inasemekana ndoa ni ya waalikwa wachache sana hata WCB hawajaalikwa. Mwenye taarifa za uhakika azishushe hapa. ————————————————————— Updates: Sasa sio tetesi tena, msanii Harmonize amefunga pingu na mpenzi wake wa siku nyingi Sara ambaye ana asili ya Italy. Sherehe ya harusi imefanyika usiku huu wa tarehe 7/9/2019 katika ukumbi wa uliopo jijini Dar. Your browser is not able to display this video. [/b]
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Sep 6, 2019 #2 Mkuu Umeungana Na warumi Na Hance Mtanashati Maana Wale Hakuna Kinachowapita Hapa Town
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,055 Reaction score 16,509 Sep 6, 2019 #3 ndoa inafungiwa mlimani city?my Goodness
B Blac kid JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 6,682 Reaction score 7,504 Sep 6, 2019 #4 Hongera zake kwa kupata mwanamke wa kibeberu
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,749 Reaction score 91,826 Sep 6, 2019 #6 Poa
babumapunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,644 Reaction score 3,314 Sep 6, 2019 #7 tang'ana said: ndoa inafungiwa mlimani city?my Goodness Click to expand... ni kanisa gani hapo mlimani city ama ni msikiti gani hapo
tang'ana said: ndoa inafungiwa mlimani city?my Goodness Click to expand... ni kanisa gani hapo mlimani city ama ni msikiti gani hapo
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,220 Reaction score 39,852 Sep 6, 2019 #8 So anapingana na juhudi za mwenyekiti kupinga mabeberu Yaani anaoa beberu Anyway joking hongera kwake kama ni kweli
So anapingana na juhudi za mwenyekiti kupinga mabeberu Yaani anaoa beberu Anyway joking hongera kwake kama ni kweli
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,107 Reaction score 185,375 Sep 6, 2019 #9 Ngoja tuone... Cc: mahondaw
L lukubuzo Samsis JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 2,947 Reaction score 3,457 Sep 6, 2019 #10 Umekop na kupaste kwa carrymastory ndo kupunguza wala kuongeza. Kingsmann said: Inasemekana msanii Harmonize a.k.a Kondeboy anafunga ndoa leo kwenye ukumbi wa mlimani city. Inasemekana ndoa ni ya waalikwa wachache sana hata WCB hawajaalikwa. Mwenye taarifa za uhakika azishushe hapa. View attachment 1200226View attachment 1200228 Click to expand...
Umekop na kupaste kwa carrymastory ndo kupunguza wala kuongeza. Kingsmann said: Inasemekana msanii Harmonize a.k.a Kondeboy anafunga ndoa leo kwenye ukumbi wa mlimani city. Inasemekana ndoa ni ya waalikwa wachache sana hata WCB hawajaalikwa. Mwenye taarifa za uhakika azishushe hapa. View attachment 1200226View attachment 1200228 Click to expand...
Chezamomo Senior Member Joined May 25, 2019 Posts 112 Reaction score 107 Sep 6, 2019 #11 Ndoa zipo za aina tatu .., sasa hiyo ni ndoa ya aina gani,.?? Ya kidini,bomani au ya mkeka??!!!
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,258 Reaction score 7,101 Sep 6, 2019 #12 Anaoa beberu
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 33,872 Reaction score 32,650 Sep 6, 2019 #13 Kingsmann said: Inasemekana msanii Harmonize a.k.a Kondeboy anafunga ndoa leo kwenye ukumbi wa mlimani city. Inasemekana ndoa ni ya waalikwa wachache sana hata WCB hawajaalikwa. Mwenye taarifa za uhakika azishushe hapa. View attachment 1200226View attachment 1200228 Click to expand... Mpelekee hii habari da'Mange chap chap.
Kingsmann said: Inasemekana msanii Harmonize a.k.a Kondeboy anafunga ndoa leo kwenye ukumbi wa mlimani city. Inasemekana ndoa ni ya waalikwa wachache sana hata WCB hawajaalikwa. Mwenye taarifa za uhakika azishushe hapa. View attachment 1200226View attachment 1200228 Click to expand... Mpelekee hii habari da'Mange chap chap.
Unforgettable JF-Expert Member Joined Aug 1, 2019 Posts 5,584 Reaction score 12,439 Sep 6, 2019 #14 Hongera kwake,Ndoa ni jambo la kheri Cc Kingsmann
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,616 Reaction score 15,424 Sep 6, 2019 #15 babumapunda said: ni kanisa gani hapo mlimani city ama ni msikiti gani hapo Click to expand... Firimasoni!!!!!!😛😛😛😛
babumapunda said: ni kanisa gani hapo mlimani city ama ni msikiti gani hapo Click to expand... Firimasoni!!!!!!😛😛😛😛
doup JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 2,718 Reaction score 2,898 Sep 6, 2019 #16 Awe makini yasije kumkuta ya Emmanuel Ebue.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,664 Sep 6, 2019 #17 Kichwa Kichafu said: Mkuu Umeungana Na warumi Na Hance Mtanashati Maana Wale Hakuna Kinachowapita Hapa Town Click to expand...
Kichwa Kichafu said: Mkuu Umeungana Na warumi Na Hance Mtanashati Maana Wale Hakuna Kinachowapita Hapa Town Click to expand...
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,664 Sep 6, 2019 #18 Kingsmann said: Inasemekana msanii Harmonize a.k.a Kondeboy anafunga ndoa leo kwenye ukumbi wa mlimani city. Inasemekana ndoa ni ya waalikwa wachache sana hata WCB hawajaalikwa. Mwenye taarifa za uhakika azishushe hapa. View attachment 1200226View attachment 1200228 Click to expand... Harmonize ndio nani?
Kingsmann said: Inasemekana msanii Harmonize a.k.a Kondeboy anafunga ndoa leo kwenye ukumbi wa mlimani city. Inasemekana ndoa ni ya waalikwa wachache sana hata WCB hawajaalikwa. Mwenye taarifa za uhakika azishushe hapa. View attachment 1200226View attachment 1200228 Click to expand... Harmonize ndio nani?
S silas maswe Member Joined Jul 28, 2015 Posts 96 Reaction score 130 Sep 6, 2019 #19 Ndoa zipo aina 3 1. Kidini 2. Kiserikali 3. Kimila Chezamomo said: Ndoa zipo za aina tatu .., sasa hiyo ni ndoa ya aina gani,.?? Ya kidini,bomani au ya mkeka??!!! Click to expand...
Ndoa zipo aina 3 1. Kidini 2. Kiserikali 3. Kimila Chezamomo said: Ndoa zipo za aina tatu .., sasa hiyo ni ndoa ya aina gani,.?? Ya kidini,bomani au ya mkeka??!!! Click to expand...
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,077 Reaction score 3,419 Sep 6, 2019 #20 doup said: Awe makini yasije kumkuta ya Emmanuel Ebue. Click to expand... Ebue ndo nani????