Wakuuwakuu,
nimedownload miracle thunder 3.02 na kuinstall then nilipojaribu kui open inaleta error hiyo hapo chini
je nawezaje kui solve hiyo error????
View attachment 1566874
MaujanjaIla kuna jamaa anaiuza hyo ambayo inapita bila hizo issue za HWID. ukiwa tayari niPM


za siku ?Maujanjaza siku ?
Kwema mtaalamFresh niaje!?