Hard working woman


na hiyo ndo dawa ya mtu mwenye jeuri, unakuwa simple but clear akikaa kusaka wa kuburuzana nae hampati period
 
Maisha ni kusaidiana lakini hii ya mwanaume kuweka mguu juu akitegemea mke ni hard worker atafanya kila kitu haikubaliki to me! Mwanaume mvivu mvivu hapana!
 
Kuna siku nilikuwa na wababa tukijadili mke mwema anaeongelewa katika mithali 31:10-31. nikawauliza kama mwanamke atabeba majukumu hayo yote na kuwa mke mwema mwanaume atafanya kazi gani ktk majukumu ya familia,walinijibu kazi ya mume ni kumsifia tu mkewe. wakaongeza wao wanapenda wake zao wawe wawajibikaji sana ili wao wakae kuwasifia tu.
 

pale kwenye mthali bana mwanamke ameangushiwa mzigo mzito sana na ukisoma kwa makini utagundua kwamba neno la kuzaa wa uchungu ndio implication yake, ingawa watu husema kuzaa kwa uchungu ni pale kwenye labor tu.

wanawake wote kwenye biblia walikuwa ni wachapa kazi sana kuliko hata wanaume
 
kwani kazi/shughuli ndo ipi?? to me huyu ni bora kuliko yule anayekupa hela na kila kitu halafu ndani haonekani
gfsonwin I mean ... mwanaume mwajibikaji lol. Anaetambua majukumu yake kama BABA.. sio kupiga bla blaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Hitimisho la hii mada ni kuwa "LIKE MOTHER LIKE DAUGHTER"

Refer misimamo ya gfsonwin in relation to how she was raised by her mom and general setup ya familia yao na
misimamo ya Lara moko in relation to how she was raised by her mom na muundo mzima wa kimajukumu katika familia yao.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…