Ninataka kufahamu hio hard reset kwenye tecno w4 kwa sababu kuna jamaa yangu anayo kama hii niliyokuwa nayo Mimi sasa ilikuwa inamshinda kidogo kufanya hiyo kitu Ila alifanikiwa kuifanyia kwa maelekezo yenu tatizo limekuja kwenye kuseti ili kuipata home screen maana ilikuwa inatafuta connection ya WiFi sehemu ya kuingiza google account haipatikani msaada