Pale harbour view kunatisha kama sio kunuka kwa utapeli na makundi ya wauza unga kuna watu pale ukifika njenya viunga vya harbour view utawakuta wako so smart wataanza kukusemesha ukisimama kuwasikiliza tu umeumia kuna watu wanalizwa kila leo mil 5, 2, 3
Hawa wanapatikana kuanzia harbour view penyewe unakuja nao mpaka pale garnen, wengine wanazunguka IPS building wakitegemea kuwatapeli watu wanaotoka burrea de change....
Polisi wako wapi?
Usalama je?
Mko nalala?
unauliza polisi wako wapi? Polisi wa nchi gani????
Pole sana ndugu yangu ila wajinga ndo waliwao.!Kweli maeneo mabaya sana, mimi nje ya Habour View nimetapeliwa na Mijamaa miwili umri kama 45 hivi, Mmoja Mwarusha na mwingine Mjaluo anaechechemea, wanajifanya wamepata tenda za kusuply vitu vya Government kama Ujenzi na Vifaa vya shule, wataomba uchangie na watakupa guarentee zote zote na hata kukupeleka kwa maafsa fulani serikalini nao hukubali, utachangia upate sehemu kubwa kwenye mgao wa faidi kubwa, ndio umekwisha. na kila aina nyinge ya wizi. mimi nimepoteza kama 3m hivi
unauliza polisi wako wapi? Polisi wa nchi gani????
Kweli maeneo mabaya sana, mimi nje ya Habour View nimetapeliwa na Mijamaa miwili umri kama 45 hivi, Mmoja Mwarusha na mwingine Mjaluo anaechechemea, wanajifanya wamepata tenda za kusuply vitu vya Government kama Ujenzi na Vifaa vya shule, wataomba uchangie na watakupa guarentee zote zote na hata kukupeleka kwa maafsa fulani serikalini nao hukubali, utachangia upate sehemu kubwa kwenye mgao wa faidi kubwa, ndio umekwisha. na kila aina nyinge ya wizi. mimi nimepoteza kama 3m hivi
Funguka mkuu kama ushalizwa