Harbinder Singh Sethi: Mimi ni mtanzania halisi, nimezaliwa Iringa

Kipindi kile alivyoiangusha KANU kule Kenya mbona hatukuambiwa 'Mtanzania aiangusha KANU'

nashangaa hawa wakenya hawataki kutushukuru
lawmaina78 kuanzia sasa na ifahamike kwamba,kupitia mtanzania mwenzetu,singa singa mwenye asiri ya iringa,tapeli la kimataifa ndg Harbinder Singh Sethi, tuliwasaidia kuchochea mapinduzi yaliyopelekea kuanguka kwa KANU.
 
Last edited by a moderator:
Hizo sheria za KIMATAIFA unazosema hao wanaozitunga sindio wamegoma kutoa misaada mpaka kieleweke? Nia yako hasa ni nini? Kututisha watanzania(walipa kodi halali) tuwaogope hao watunzi wa sheria za kimataifa au unaogopa hadharani kuwajibishwa(WEWE) katika hizo mahakama za kimataifa mambo yote yakiwa hadharani???

Usitishwe na rangi.Ujinga hauna rangi.
Hata wao wafadhili ni wendawazimu wamelewa siasa kuliko sheria.
Hivi unaweza amua kusitisha misaada kwenye nchi wakati kuna mikesi iko mahakama za ndani na za kimataifa?

Unaweza chukua hatua bila kupata nakala ya hukumu ya mahakama kuhukumu kuwa kuna vibaka IPTL?
Nashangaa mzungu mzima anaanza kuzurura Paris,London,Brussels,Washington na ujerumani kutangaza kuwa kuna vibaka IPTL hana hata katoilet paper ka mahakama kanakosema IPTL kuna wezi?

Utawala wa sheria wanaousisitiza hawa wanaojiita wafadhili wa kimataifa uko wapi?
Nao wasituzengue.Kama wakianza kuona mahakama za kimataifa hazina maana basi kuna siku na sisi tutawafanyizia wawekezaji wao na hatutajali mahakama za kimataifa.Wana set precedence mbaya mno.

Wangezuia misaada kwa sababu ingine lakini siyo kusingizia IPTL na tungewaelewa tu.Lakini kutumia suala la IPTL wamechemka.
 
Wangezuia misaada jkwa sababu ingine lakini siyo kusingizia IPTL na tungewaelewa tu.Lakini kutumia suala la IPTL wamechemka.

Mkuu unataka utawala wa Sheria? Unataka mahaka ieshimiwe?mahakama ambayo baadhi ya majaji wamepata mgao wa escrow au unazungumzia mahakama ipi?
 
Mkuu unataka utawala wa Sheria? Unataka mahaka ieshimiwe?mahakama ambayo baadhi ya majaji wamepata mgao wa escrow au unazungumzia mahakama ipi?

Umesema vizuri kuwa "baadhi" ingawa hakuna ajuaye kama wana hatia au hawana sababu hakuna mahakama iliyothibitisha
 
Hata wao wafadhili ni wendawazimu wamelewa siasa kuliko sheria.
Hivi unaweza amua kusitisha misaada kwenye nchi wakati kuna mikesi iko mahakama za ndani na za kimataifa?

Unaweza chukua hatua bila kupata nakala ya hukumu ya mahakama kuhukumu kuwa kuna vibaka IPTL?
Nashangaa mzungu mzima anaanza kuzurura Paris,London,Brussels,Washington na ujerumani kutangaza kuwa kuna vibaka IPTL hana hata katoilet paper ka mahakama kanakosema IPTL kuna wezi?

Utawala wa sheria wanaousisitiza hawa wanaojiita wafadhili wa kimataifa uko wapi?
Nao wasituzengue.Kama wakianza kuona mahakama za kimataifa hazina maana basi kuna siku na sisi tutawafanyizia wawekezaji wao na hatutajali mahakama za kimataifa.Wana set precedence mbaya mno.

Wangezuia misaada kwa sababu ingine lakini siyo kusingizia IPTL na tungewaelewa tu.Lakini kutumia suala la IPTL wamechemka.

Hujawaelewa tu nchi wahisani?? Wamebaini huu mchezo wenu wa kifisadi hautokoma endapo hatua stahiki hazikuchukuliwa sasa! Kibaya zaidi kinachowaumiza na kuwafanya wasite kutoa misaada ni kwamba walewale ambao wamehusika tangu mwanzo katika kashfa za kifisadi mpaka leo wanaendelea hivyo hakuna nafuu wala afadhali!

Hii IPTL ni mnyoo mrefu sanaaaa ambao umelala kwenye uti wa mgongo wa tanzania na ndio maana hata Ikulu mnasita sna kutoa tamko! Ni ukweli kwamba huyu FUNZA IPTL akitolewa kwenye huu uti wa mgongo nchi lazima iyumbe sababu ni mlolongo mrefu wa viongozi wa juu mpaka wa chini wa serikali na watu binafsi wamekua wakishirikiana miaka zaidi ya 20 kuendeleza kumlisha huyu funza IPTL!

Tunajua kweli kabisa nchi lazima iyumbe tena itavunjika mgongo ukweli woooooooote ukiwa out in the open lakini kumbuka kuna mambo yasiyokwepeka muda muafaka ukifika na ndio maana TIME IS A HEALER OF ALL WOUNDS! Alieumba MUDA sio mjinga anajua kama mwanzo upo basi mwisho pia lazima ufike!!
 
nashangaa hawa wakenya hawataki kutushukuru. lawmina78 kuanzia sasa na ifahamike kwamba,kupitia mtanzania mwenzetu mwenye asiri ya iringa ndg tuliwasaidia kuchochea mapinduzi yaliyopelekea kuanguka kwa KANU.

Taabu Mkenya lawmina78 huwa haji kusoma huku Lakini kama ni kweli inabidi afunge safari kuja kumshukuru huyu mtu wa Iringa Harbinder Singh Seth kwa kazi kubwa aliyofanya kenya Kuwasaidia akina Raila Odinga na wajaluo wenzie nao kuona ofisi za serikali zinafananaje.

Ngoja nitamchokoza kule jukwaa la wakenya
 
Mimi ninawafahamu sana hawa akina Seth miaka ya nyuma walikuwa na kampuni yao yaa RCC pale Iringa ilikuwa ikishughulika namambo ya uhandisi na ujenzi. Huyu bwana ni muhehe kabisa. Dada zake tumesoma nao pale Highlands secondary
Kwahiyo huyu atakuwa ni Mwakanyongo, Mwakifilikinya au Mwaulasi. Kuna jamaa anasema walikuwa wanakunywa naye common na ulanzi kule Makanyagio na Ipogoro
 
Kwahiyo huyu atakuwa ni Mwakanyongo, Mwakifilikinya au Mwaulasi. Kuna jamaa anasema walikuwa wanakunywa naye common na ulanzi kule Makanyagio na Ipogoro

Hahahahaha!!
Nasikia ametafuna mbwa sana pale makete
 
Iringa na tabora watu hawana ukabila kama ilivyo Kilimannjaro ndio maana wahindi na waarabu wanakupenda.
Kilimanjaro wana ukabila sana lakini wao wakienda sehemu zingine hawataki kubaguliwa.Yaani mkoa mzima wa kilimanjaro hakuna mbunge wa kabila lingine nje ya wenyeji wa wilaya husika.

Mikoa mingine mingi tu imetoa wachaga kibao kama wabunge bila kuwaonea. Ikawapa haki kama watanzania.
Naamini dhambi ya ubaguzi inayofanywa na wachaga kwa makabila mengine kuanzia katika siasa,ajira n.k iko siku Mungu ATAWALIPA SASAWA NA UBAGUZI WENU.

Naamini MUNGU si athumani.Leo mwaweza onea Makabila mengine lakini Mungu lazima atawalipa kisasi kwa walau kuwapa magonjwa ya KANZA,KISUKARI,UKIMWI.PRESSURE N.K kama malipo yenu kwa roho mbaya ya kubagua wengine mkiwa bado katika dunia hii hii.

Mbona washalaaniwa kwa kuoza meno na kupata yule PADRI mzinifu
 
Tatizo lako kubwa ni elimu.

Uarabu ni global na si wa sehemu fulani kama unavyotaka kuaminishwa tena ndiyo lugha ya kwanza Afrika.

Nimekufahamisha humu, ukipitia hii nyuzi, kuwa Uarabu si kabila au Taifa ni lugha na Kiswahili kina maneno mengi sana ya Kiarabu, kwa hiyo Uarabu tunao tukipenda tusipende.

Sijui unakwazika na nini kwa hilo?
naomba unipe percentage ya maneno ya kiarabu kwenye lugha ya kiswahili halafu tuone kama tuna haki ya kujiita waarabu au wabantu! Zipo lugha kadhaa ambazo zimetohoa maneno kutoka lugha nyingine lakini hiyo haifanyi wao kujiona tofauti na asili yao au kujiona wana asili ya lugha walizotohoa! Unasema mimi tatizo langu ni elimu ila wewe tatizo lako ni kasumba na kujipendekeza kupita kiasi yaani iko hivi: faizafoxy kwa mwarabu ni sawa na mbwa kwa chatu i.e chatu=mwarabu na faizafoxy=mbwa! kama hukuzaliwa mwarabu waache wenye uarabu wao, acha kujipendekeza hakutakufanya uumbike upya kuwa mwarabu mbona wao waarabu hawajipendekezi kuwa wabantu!ukisikia mwarabu lazima ashki majnuun zikunyevue! khaa una matatizo gani weye!
 
kama ni Mtanzania kwa nini hela zake anaweka kwenye account za nje. Hatudanganyiki

Mmiliki wa kampuni ya PAP inayodai kuinunua IPTL anayejulikana kwa umaarufu kama 'singasinga' kutokana na asili yake ya 'kihindi' amedai kuwa amezaliwa mkoani Iringa hivyo ni mtanzania halisi!

Singasinga huyo ambaye ni Harbinder Singh Sethi aliyasema hayo jana kwa vyombo vya habarii na amenukuliwa na gazeti la Mwananchi la leo.

Haya yanajiri siku chache tu baada ya bunge kumtuhumu kuwa yeye ni mgeni aliyekuja kuihujumu Tanzania. Wapo baadhi ya wabunge ambao walinukuliwa wakisema kuwa wanampongeza mtanzania mwenzao yaani Rugemarila kwa kulipa kodi huku wakimponda vikali Sethi kwa kumtaja kama mgeni mwenye nia ya kulivurufa taifa.
 
Hiyo PI kapigwa lini?

Yeye bado ni mwenyekiti na kiongozi wa Hekalu la Gurudwara Sahib pale Johanesburg.
Soma hapo chini

GurudwaraSA Johannesburg

Nenda uingie kwenye google nidyo utajua.Hivi vitu inabidi kuwa watafiti zaidindugu yangu.

Kwa hiyo huyu Muhehe ni rais wa SA!!!!!!!!!Nashangaa tu,ila nikajikuta nashangaa kwa sauti.Huyu ndugu yangu ni tapeli,yupo mufilisi,viongozi wetu wamemtafuta ili kujichotea mahindi kwenye hili shamba la bibi.

Ninachokuomba kuwa mzalendo,tusiendelee kuwatetea wanaodhoofisha UCHUMI wetu.Tafiti ndugu,huyu si mwenzetu,huyu ni muuaji wa uchumi wetu.Usisikilize kelele za hawa viongozi waliopokea vichupa wakampa Sethi dhahabu.

Siku ukija jua ukweli,utaumia sana nafuu uwe unbiased.TUnakuhitaji kwenye vita hivi vya wanaouza nchi kwa kisingizio cha wawekezaji.

Chunguza zaidi ndiyo utamjua,viongozi wa serikali na wengine wamekuwa alerted na polisi kuwa wasikubali wanachoelezwa na huyo bwana kwani ni muongo,tapeli na amefilisika anatumia utapeli kufanya biashara zake.

Ni vyema tukawa waangalifu kwenye kutetea hawa wanaojifanya ni wawekezaji.
 
Tanzania hakuna Singasinga labda wakuja akapewa uraia kamwongeleshe kihehe kama anakijua.
 
Mmiliki wa kampuni ya PAP inayodai kuinunua IPTL anayejulikana kwa umaarufu kama 'singasinga' kutokana na asili yake ya 'kihindi' amedai kuwa amezaliwa mkoani Iringa hivyo ni mtanzania halisi.

Singasinga huyo ambaye ni Harbinder Singh Sethi aliyasema hayo jana kwa vyombo vya habarii na amenukuliwa na gazeti la Mwananchi la leo.

Haya yanajiri siku chache tu baada ya bunge kumtuhumu kuwa yeye ni mgeni aliyekuja kuihujumu Tanzania. Wapo baadhi ya wabunge ambao walinukuliwa wakisema kuwa wanampongeza mtanzania mwenzao yaani Rugemarila kwa kulipa kodi huku wakimponda vikali Sethi kwa kumtaja kama mgeni mwenye nia ya kulivurufa taifa.
Aeleze vile vile ushiriki wake kwenye goldenberg scandal ya Kenya. Alitokea TZ kwenda kenya au vipi? Kama TZ ina mafia wakali hivi basi nafunga mdomo!!
 
Hebu lete ushahidi wa kuaminika wa kisheria kuwa aliingusha KANU.Acha kuleta habari za vijiwe vya kahawa vya Kisumu.
Chama Cha KANU kipo hai na haikijafa habari zake angalia kwenye website yao hii hapa

HOME

Kwani mtu akianguka anakua amekufa? Kama amekwambia aliiangusha KANU hakumaanisha aliiua, ilianguka ktk maana ya kwamba sasa si chama tawala.
 
Back
Top Bottom