Wakati anatapeli Kenya alisema yeye ni mkenya
Akimaza hapa ataenda Malawi nako atawapiga then atasema tena yy ni Mmalawi amezaliwa Zomba.
Wakati anatapeli Kenya alisema yeye ni mkenya
kwahiyo tumepigwa bao na mbongo mwenzetu..!!!!?
Kweli kuna wenye inchi na wanainchi ndani ya bongo..
Usihangaike sana kunijibu.
Hata hapa TZ unafikiri tume itatangaza Harbinder ndiyo kaingusha CCM??
Uwe unaelewa kiswahili vizuri
kamsachini nyumbani kwake kama hamjamkuta na pass ya canada kenya na pia ya uingereza.Inawezekana RITA wanahusika kama Miss Tanzania, maana Tanzania yetu kwa sasa mtu anaweza fanya lolote na muda wowote.
wee vipi...nchi inaendeshwa na bunge kama mahakama ikijaa vibaka kama mahakimu na majaji.Acha uzushi mahakama ipi imemhukumu kuwa kaiba? Nchi inaendeshwa kwa sheria sio siasa na mihemuko ya wanasiasa kwenye bunge.
wee vipi...nchi inaendeshwa na bunge kama mahakama ikijaa vibaka kama mahakimu na majaji.
Dua la kuku hilo halimpati mwewe
Mmiliki wa kampuni ya PAP inayodai kuinunua IPTL anayejulikana kwa umaarufu kama 'singasinga' kutokana na asili yake ya 'kihindi' amedai kuwa amezaliwa mkoani Iringa hivyo ni mtanzania halisi!
Singasinga huyo ambaye ni Harbinder Singh Sethi aliyasema hayo jana kwa vyombo vya habarii na amenukuliwa na gazeti la Mwananchi la leo.
Haya yanajiri siku chache tu baada ya bunge kumtuhumu kuwa yeye ni mgeni aliyekuja kuihujumu Tanzania. Wapo baadhi ya wabunge ambao walinukuliwa wakisema kuwa wanampongeza mtanzania mwenzao yaani Rugemarila kwa kulipa kodi huku wakimponda vikali Sethi kwa kumtaja kama mgeni mwenye nia ya kulivurufa taifa.
akili ya kuambiwa changanya na yako. siomeona juzi wahuni wakijaribu kutumia mahakama kuzuia bunge kufanya kazi!Hebu onyesha kifungu cha katiba au sheria cha hicho ulichoandika.
Kwa nini waarabu wengi wanakimbilia Iringa na Tabora?
Ndiko kuna wajinga wajinga bado!
Well said.....Ila Mmmh akili nyingi huku hatuoni genuine Investment ambazo twaweza sema A angalia Kiwanda kile kiko Iringa, B angalia Kiwanda Fulani Kiko Arusha D angalia Kampuni Fulani Iko Mbeya....aaaha acheni izo...!!!Hiyo Kampuni yao ilikuwa inaitwa RUAHA CONSTRUCTION COMPANY na ilikuwa kampuni kubwa ya ujenzi inayoheshimika mno mikoa yote ya nyanda za juu kusini.Na imejenga majengo mengi mazuri pale Iringa Mjini na mikoa ya nyanda za juu kusini na viwanda na mabarabara .Ilikuwa na ofisi zake Jirani na National Milling Corporation kwenye yale maghala ya National Milling COrporation Pale Karibu na station ya Railways Iringa Mjini.
Ni kati ya kampuni Private ambazo Ziliweza stawi sana kipindi cha UJAMAA na ikawa inapewa tenda nyingi tu za serikali wakati ule wa Nyerere.Hao wameweza kufaniliwa kuanzia wakati wa UJAMAA hadi sasa.
Ni wafanyabiashara kikweli hawajui siasa wanajua biashara na waweza ifanya na kuimudu kwenye mfumo wowote uwe wa kijamaa au kibepari.Huyu kwa wale wanaotaka kujifunza kumudu biashara katika maeneo yoyote yawe ya ndani ya nchi au nje ya nchi na katika siasa za aina yeyote huyu aweza mentor watanzania na kuwaelekeza.Ni kichwa cha uhakika ambacho Tanzania inabidi iendelee kukitumia.
Hela huyu Harbinder wala hajaanza kuzishika pesa nyingi leo kwenye Escrow!! Kwa wale msiomjua!
Ni mmoja katika watanzania wenye akili sana tena sana
Mtu akikwambia watanzania hawana akili au wana IQ ndogo watajie mfano tu Harbinder Singh Seth na Rugemalila
Na wako wengi tu ila sema watanzania hawana tabia ya kujikweza kama raia wengine ambao kutwa wako kwenye TV na maredio.
Tafadhali fanya adabu. Shemeji yako kwa nani, nikome usitake kujipendekeza kwangu, kwanza badili hiyo ID, usijipendekeze bila mpango.
Anapika vitumbua ukanda gani coz nimemuona ameruka kweli kwamba wewe siyo shemeji yake