Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,017 Reaction score 51,144 Mar 28, 2026 #21 Pascal Mayalla said: Mtambo wa finger prints wa jeshi letu la polisi ni defective, hauna uwezo wa kubaini watu wenye criminal records, hata akitokea serial killer akakutwa na hatia, akipimwa finger prints, anajipatia police clearance report kuwa is clean!. P Click to expand... Sio kwamba namtetea huyo babu ila naona hiyo ripoti memba wengi hawajaelewa msingi wake.
Pascal Mayalla said: Mtambo wa finger prints wa jeshi letu la polisi ni defective, hauna uwezo wa kubaini watu wenye criminal records, hata akitokea serial killer akakutwa na hatia, akipimwa finger prints, anajipatia police clearance report kuwa is clean!. P Click to expand... Sio kwamba namtetea huyo babu ila naona hiyo ripoti memba wengi hawajaelewa msingi wake.
K kggoo Member Joined Sep 11, 2024 Posts 98 Reaction score 114 Mar 28, 2026 #22 Kazi za mahaka zinafannywa na polisi
baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,423 Reaction score 17,636 Mar 28, 2026 #23 Stroke said: Sio kwamba namtetea huyo babu ila naona hiyo ripoti memba wengi hawajaelewa msingi wake. Click to expand... Tueleweshe wewe mjuaji
Stroke said: Sio kwamba namtetea huyo babu ila naona hiyo ripoti memba wengi hawajaelewa msingi wake. Click to expand... Tueleweshe wewe mjuaji
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,017 Reaction score 51,144 Mar 28, 2026 #24 baz kaiza said: Tueleweshe wewe mjuaji Click to expand... Nenda Polisi kaulize
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,524 Reaction score 194,446 Mar 29, 2026 #25 Muda huongea... Cc: Mahondaw
MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 10,016 Reaction score 14,759 Mar 29, 2026 #26 Stroke said: Sio kwamba namtetea huyo babu ila naona hiyo ripoti memba wengi hawajaelewa msingi wake. Click to expand... Mimi niliuliza, ni wapi amewahi kukutwa na hatia hapa Tanzania?
Stroke said: Sio kwamba namtetea huyo babu ila naona hiyo ripoti memba wengi hawajaelewa msingi wake. Click to expand... Mimi niliuliza, ni wapi amewahi kukutwa na hatia hapa Tanzania?