Humble African JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 4,781 Reaction score 14,442 Aug 12, 2014 #21 Walisema harare ina hadhi ya kuandaa kombe la dunia kutokana na miundo mbinu yake! Harare hii Kigoma.
Walisema harare ina hadhi ya kuandaa kombe la dunia kutokana na miundo mbinu yake! Harare hii Kigoma.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Aug 12, 2014 #22 hizi picha zinanitisha kwamba wanabodi mnataka kuhama nchi?
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 Jun 25, 2016 #23 Dar tunajivunia nini? Nyerere kuwatimua wazungu mapema alifanya kosa....
ram Platinum Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,385 Reaction score 8,648 Jun 26, 2016 #24 Otorong'ong'o said: DSM ni mji mchafu sana... Click to expand... Kama umeingia kwa ndege, ukitoka tu ndani ya ndege unakutana na harufu mbaya, kwa basi, ukiianza kibamba tu Hali ya hewa inabadilika, huwa sielewi ni harufu ya nini
Otorong'ong'o said: DSM ni mji mchafu sana... Click to expand... Kama umeingia kwa ndege, ukitoka tu ndani ya ndege unakutana na harufu mbaya, kwa basi, ukiianza kibamba tu Hali ya hewa inabadilika, huwa sielewi ni harufu ya nini
S songera JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,302 Reaction score 510 Jun 26, 2016 #25 Kwani wazungu ndo kina nani badili fikra kuwa wazungu ni kila kitu
M mwembemdogo JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 2,282 Reaction score 1,253 Jun 26, 2016 #26 Mbona Awamu ya 5 imesema itatisha zaidi?
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 23,326 Reaction score 28,617 Jun 26, 2016 #28 "SOUTHERN RHODESIA"/ MUGABE HAPO HAJAJENGA HATA JENGO MOJA. YOTE YAMEJENGWA NA WAZUNGU EVEN CITY PLAN.
"SOUTHERN RHODESIA"/ MUGABE HAPO HAJAJENGA HATA JENGO MOJA. YOTE YAMEJENGWA NA WAZUNGU EVEN CITY PLAN.
gambakhuffu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2010 Posts 560 Reaction score 612 Jun 26, 2016 #29 Manina harare imesimama, dsm ijipange upya