John Kachembeho
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 560
- 390
Bado ni mji mzuri na hauja chafuliwa kama Dsm ya kwetuJee, majengo haya mazuri ni mali ya wazimbabwe wale wazawa au ni wageni?
Bado ni mji mzuri na hauja chafuliwa kama Dsm ya kwetu
Tuna mameya, madiwani,wakurugenzi ambao utafikiri wameopolewa toka vichochoroni.Hapo kwenye usafi sisi ndo panatushinda
Tuna mameya, madiwani,wakurugenzi ambao utafikiri wameopolewa toka vichochoroni.
Tuna mameya, madiwani,wakurugenzi ambao utafikiri wameopolewa toka vichochoroni.
Hapo kwenye usafi sisi ndo panatushinda
Bado ni mji mzuri na hauja chafuliwa kama Dsm ya kwetu
Mbowe na Mtei wote macho kumchuzi, mbona hujawapeleka India kurekebishwa!Unamueleza nani matatizo yako? We si gamba damu!
Tuna mameya, madiwani,wakurugenzi ambao utafikiri wameopolewa toka vichochoroni.
DSM ni mji mchafu sana...
Unapata fikra gani kwa mara ya kwanza unaposikia jina la nchi Zimbabwe??
Kwa wengi wetu ni fikra ya nchi nchi ya Afrika yenye uchumi mbovu na na noti za fedha zenye sifuri nyingi lakini thamani ndogo, na kingine ni kiongozi wake maarufu Comrade Robert Mugabe.
Well, there is something attractive katika nchi hiyo, hapa chini ni picha za mji mkuu wa nchi ya Zimbabwe, Harare!
View attachment 176963
View attachment 176964
View attachment 176968View attachment 176967
View attachment 176965