Harambee ya kumpongeza John Heche

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
717
Reaction score
1,491
Jana John Heche ametoa speech ya muda mfupi sana kuhusu msimamo wa CHADEMA juu ya maridhiano.
Katika hali ya kushangaza, leo wamejitokeza watu kila aina, wakubwa kwa wadogo kujibu hotuba ya Mwanaume(John Heche). Nadhani tutaendelea kuwaona na wengine zaidi.

Watu wanashindwa kusoma alama za nyakati. Ni hivi, kwa sasa CHADEMA wakiweka msimamo juu ya jambo fulani, kuanzia 90% huo ndo msimamo wa Watanzania.

Kwa kuwa Mh. John Heche ametufurahisha kwa kuyatoa MAJOKA yote pangoni, nimeona tufanye harambe ya kumpongeza.

Karibuni sana, michango nitapokelea hapa hapa JF.
 
Hongera sana MWAMBA JOHN WEGESA HECHE WEWE NI NOOOUUUUMAAAAA,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…