Harambee ya kuchangia maendeleo KILOMBERO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harambee ya kuchangia maendeleo KILOMBERO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JoJiPoJi, Jan 2, 2011.

 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,460
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  Napenda kuchukua fursa hii, kutangaza nia ya kuandaa harambee ya kuchangia maendeleo katika jimbo la kilombero, Jimbo hili kwa muda mrefu limekuwa na bahati mbaya ya kupata viongozi ambao wana malengo ya dhati katika kuchangia kuleta maendeleo. Kwa hiyo wanakilombero ni jukumu letu sote katika kuhakikisha tunajitoa kwa hali na mali ili kufanikisha azma hiyo.
  Ili kufanikisha azma hii naomba kupokea maoni, mawazo, mitazamo mbalimbali ili hatimaye tuweze kufikia malengo yetu ya kulifanya jimbo hili kuwa mfano.

   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Napenda kusikia hili! Michango ya Kitchen party, Harusi, Ubarikio mimi hainihusu tena. Kwa hili tupo pomoja
   
 3. drmkumba

  drmkumba Member

  #3
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nakuunga mkono kwani licha ya jimbo hili kuwa na rasimali nyingi limebaki nyuma kimaendeleo.Kuna viongzi wengi tena wenye nafasi nyeti serikalini wazawa wa jimbo hili lakini wamekosa uzalendo wa kuleta maendeleo.Big up I will be there!
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tusisahau kuwashirikisha wadau kama K1 na K2.
   
Loading...