Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,543
hauniangushi aki;2---1
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tuthamini vya kwetu
Hizi kauli mbiu huwa zinafariji japo zinauma
Tena Leo kabda hatujatoka job, tukaambiwa tuiombee starsHahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Wewe umenishinda tabia!!
Acha unafiki uende mbinguni
Anacheza Hispania uyoFarid mussa huyu jamaa acheze ligi kuu nchi za wenzetu sijui anakwama wapi?
Akaze hapa ndio kwa kutokea vizuri.
Anacheza Hispania uyo
Bora umekuwa mkweliTuthamini vya kwetu
Hizi kauli mbiu huwa zinafariji japo zinauma
Aiseee, Bora tu if you know what I mean
Kweli mtu ukishangilia ccm na kumbukumbu zinahama. Nije whatsup au nikufungulie pm
Inaonekana ofisini kwenu ni wazalendo sanaTena Leo kabda hatujatoka job, tukaambiwa tuiombee stars.
Yaani ccm bhana
Ninaumia sana Bradha .Dada la dada, mkeka wako unachanika.
Hahahaahaha! Vijana wa mtaa ule pale karibu na mnazi???Atapokelewa airport siku ya kurudi kwa kubebwa juu huu.
Yes ameshaandaa watu wa kumbeba
Ahahhahaaahahahah.
Usiamini kila usikialo. I bet waliokwambia ni makamanda