Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Namwona wapisijalipia king'amuzi.
Nipo napiga porojo tuu hapa .
Safiiiiii, huu ushangiliaji ni wa kizalendo haswa
Roho inaniuma dear. Yaani hadi nahisi njaaHahaha hahaha hahaha hahaha
Wewe sio wa kutufanyia hivii
Technically, insulting players because the team lost against Senegal was very much unfair. Tusiseme sanaLeo tunacheza mpira mzuri mno kama sio sisi tuliocheza na senegal
Fanya hivyo jamani.Hamna namna kwa kweli
Hahaha hahaha hahahaRoho inaniuma dear. Yaani hadi nahisi njaa
huyu bashite sijui kaenda kufanya fitna za soka.
ila mungu wangu tukienda 16 atavimba sana kichwa.
Wewe acha hizo
Kumbe we ndo umetuamsha
Tukishinda mechi ya Leohuyu bashite sijui kaenda kufanya fitna za soka.
ila mungu wangu tukienda 16 atavimba sana kichwa.
Macho yako mabovu. Nenda kalaleWrite your reply... Jamani nimimi tuu naona kenya wanavyobakwa au!? au macho yangu mabovu
Mimi mwanao ninaijuaHahaa wananhu ni under 7 hawajui jf
Kwa kweli maendeleo hayana chama🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha hahaha hahaha
Uzalendo kwanza, maendeleo hayana chama