babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Sometimes Unawaacha waendelee kuamini wanacho kiamini 😂😂😂Na wana iq ndogo sana ndo maana hata uwezo wa kufikiri ni mdogo sana inabidi tuwasamehe bure hawajui walitendalo
Sometimes Unawaacha waendelee kuamini wanacho kiamini 😂😂😂Na wana iq ndogo sana ndo maana hata uwezo wa kufikiri ni mdogo sana inabidi tuwasamehe bure hawajui walitendalo
Na je mshatwangwa?Tz tupo nafasi ya pili na point tatu,
Vipi kuhusu nyie 😂😂😂
Nasubiria utuambie point mlizo nazo.Na je mshatwangwa?
2 points unbeatenNasubiria utuambie point mlizo nazo.
Tz point 3 na 3 goals,2 points unbeaten
Nasubiri utuambie mlitwangwa?
Hujajibu swali. Je mlitwangwa?Tz point 3 na 3 goals,
Huoni hapa Tanzania ina nafasi kubwa kuliko timu yenu au Unajitoa akili 😂😂😂
Wakihesabiwa watu wenye akili na wewe unataka kuwepo? Bure kabisa.Na wana iq ndogo sana ndo maana hata uwezo wa kufikiri ni mdogo sana inabidi tuwasamehe bure hawajui walitendalo
Ukweli unauma?kwa mtazamo wako unaweza ukawa finyuWakihesabiwa watu wenye akili na wewe unataka kuwepo? Bure kabisa.