martyr2012
JF-Expert Member
- Jul 18, 2012
- 603
- 245
Wewe ni nani mpaka uambiwe?
Jina lako ni sawa na fikra zako yaani umefungiwa kwenye jela mpaka fikra. Hivi hujui chama cha siasa kina maslahi mapana ya jamii?? na hivyo kutakiwa kuweka mambo yake yote wazi kabisa bila kificho?