Harambe ya UKAWA magumashi

Harambe ya UKAWA magumashi

mafundisho

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
388
Reaction score
136
Hivi karibuni umoja wa UKAWA ulianzisha harambee ya wanachama wake kuchangia fedha umoja huo kwa ajil ya kampeni,fedha nyingi zilitolewa na wadau,cha ajabu hadi sasa hakuna ripoti yoyote ya fedha iliyotolewa na hata kuelezwa watu mambo yanaendaje,kujua utaratibu huo wa kuchangia bado unaendelea au vipi?Napata shaka isije kuwa watanzania wameliwa jamani??
 
Akili za kuambiwa changanya na zako,ile ilikuwa changa kaka,fedha zitakuwa zilirambwa zile na nyingine kugaramia matibabu ya mzee
 
Uliza fedha za harambee ya M4C ziko wapi uone kama hujaitwa msaliti
 
Chama tayari kina mgombea Tajiri anechukia umaskini, kwa hiyo kuomba michango kwa sasa ni ulaghai.
 
HARAMBEE YA UKAWA MAGUMASHI:
Hivi karibuni umoja wa ukawa ulianzisha harambee ya wanachama wake kuchangia fedha umoja huo kwa ajil ya kampeni,fedha nyingi zilitolewa na wadau,cha ajabu hadi sasa hakuna ripoti yoyote ya fedha iliyotolewa na hata kuelezwa watu mambo yanaendaje,kujua utaratibu huo wa kuchangia bado unaendelea au vipi?Napata shaka isije kuwa watanzania wameliwa jamani??

Unatumika wewe hahahaa
 
Hiki ni kiini macho wanataka utakaso wa pesa zao chafu kutoka kwa wa wafazili wao
 
HARAMBEE YA UKAWA MAGUMASHI:
Hivi karibuni umoja wa ukawa ulianzisha harambee ya wanachama wake kuchangia fedha umoja huo kwa ajil ya kampeni,fedha nyingi zilitolewa na wadau,cha ajabu hadi sasa hakuna ripoti yoyote ya fedha iliyotolewa na hata kuelezwa watu mambo yanaendaje,kujua utaratibu huo wa kuchangia bado unaendelea au vipi?Napata shaka isije kuwa watanzania wameliwa jamani??

Haaaaah hawa watu watakua walipata buku kwenye harambee
 
Hivi karibuni umoja wa UKAWA ulianzisha harambee ya wanachama wake kuchangia fedha umoja huo kwa ajil ya kampeni,fedha nyingi zilitolewa na wadau,cha ajabu hadi sasa hakuna ripoti yoyote ya fedha iliyotolewa na hata kuelezwa watu mambo yanaendaje,kujua utaratibu huo wa kuchangia bado unaendelea au vipi?Napata shaka isije kuwa watanzania wameliwa jamani??
Wewe umetoa? Kama uliahidi katoe matumizi yatatolewa NEC na si kwa wananchi ila kuendelea na kampeni ni kwmba pesa walipata
 
Tumechangia sana na wote tuliyo changia hatuwezi kubadilika tena kura ni kwa lowassa
 
Hivi karibuni umoja wa UKAWA ulianzisha harambee ya wanachama wake kuchangia fedha umoja huo kwa ajil ya kampeni,fedha nyingi zilitolewa na wadau,cha ajabu hadi sasa hakuna ripoti yoyote ya fedha iliyotolewa na hata kuelezwa watu mambo yanaendaje,kujua utaratibu huo wa kuchangia bado unaendelea au vipi?Napata shaka isije kuwa watanzania wameliwa jamani??

Hio inaitwa backup
Wanajarib kufidia gharama za kununua watu
Na kukinunua chama

Wameshagundua hawapati kitu
Nasikia pia kuna harambee zaid ya tano zinakuja
Lengo n hilo hilo

Watanzania wapumbavu ndio waliwao
 
Hivi karibuni umoja wa UKAWA ulianzisha harambee ya wanachama wake kuchangia fedha umoja huo kwa ajil ya kampeni,fedha nyingi zilitolewa na wadau,cha ajabu hadi sasa hakuna ripoti yoyote ya fedha iliyotolewa na hata kuelezwa watu mambo yanaendaje,kujua utaratibu huo wa kuchangia bado unaendelea au vipi?Napata shaka isije kuwa watanzania wameliwa jamani??

Unaonyesha wewe sio mwana ukawa huwezi pewa taarifa.. au hujachangia nini? Ok changia kwa ile namba baadae utaletewa ujumbe wa shukurani na utapata taarifa zote...
 
Wewe ulichangia?..acha pesa itumike kwenye kampeni, acha utoto

Hivi karibuni umoja wa UKAWA ulianzisha harambee ya wanachama wake kuchangia fedha umoja huo kwa ajil ya kampeni,fedha nyingi zilitolewa na wadau,cha ajabu hadi sasa hakuna ripoti yoyote ya fedha iliyotolewa na hata kuelezwa watu mambo yanaendaje,kujua utaratibu huo wa kuchangia bado unaendelea au vipi?Napata shaka isije kuwa watanzania wameliwa jamani??
 
Wewe ulichangia?..acha pesa itumike kwenye kampeni, acha utoto

Na kweli inatumika

20,000 kuzomea ccm
50,000 kuzimia
Kusomba watu na malori
Matibabu kwa lowasa
Na nusu iliyobak ni kununua pampers za mheshimiwa mamvi
 
Back
Top Bottom