Harakati za wakuu wa kamati za bunge

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
_994573_mrema-bbc150.jpg

Kama watendaji wa Same wameiba, wapelekwe mbele ya sheria na sio kukatwa 15% mishahara kama anavyoamuru Mrema.


zitto_1.jpg
Kulishtaki kwa wananchi baraza la mawaziri kwa kutofikia maamuzi kwa kuelekezwa na ushauri wa kamati yake ni kupoteza muda. Anataka baraza liketi na lijadili ajenda yake Zitto!

picture

Mbio za sakafuni huishia ukingoni. Baada ya kuona hoja ya Tanesco haimwongezei umaarufu sasa amerudi Bumbuli kutafuta njia nyimngine ya kutoka nayo.

lowassa.jpg

Anaongea kwa hadhari kubwa sana siku hizi. Hata kasi ya maneno yake imepungua si kama ya wakati ule akiwa PM. Malengo ya 2015 kazi kweli kweli.
 
Hawa wote ni mawakala wa ufisadi.... wako kwenye hizo nafasi kwa manufaa yao na mafisadi!!!!!
 
Mbona mh. Cheyo amesaulika! Isisahulike huyu ni mtu muimu sana. Hata kanuni za bunge kubadilishwa shabaha kubwa ilikuwa ni kumlinda yeye asipoteze uenyekiti wa kamati hiyo nyeti ya hesabu za serikali; si unajua bila ya yeye uenda matanuzi yakawa ya shida.
 
Mimi nawasikitikia sana January na Zitto wanatakiwa kuwa waangalifu sana wao bado wana safari ndefu kisiasa ukilinganisha na akina Mrema Cheyo ambao hawana malengo ya kisiasa ni maslahi zaidi yanayowasumbua.
 
Back
Top Bottom