Mkuu wewe google utasikia anavyo wapenda viongozi wa Africa.Nieleweshe mkuu
Kwa akili za kiccm hapo zinamtuma kwamba anamfunika Makonda aonekane alikuwa afanyi kazi aachiwe yeye hiyo nafasi siyo kukaimu tu, wakati hajui Makonda ni wa kwetu kanda ya ziwa.CCM chama cha mashetani
Waache wavurugane. Sisi yetu machoKwa akili za kiccm hapo zinamtuma kwamba anamfunika Makonda aonekane alikuwa afanyi kazi aachiwe yeye hiyo nafasi siyo kukaimu tu, wakati hajui Makonda ni wa kwetu kanda ya ziwa.
Huyu Hapi ni zao la Uvccm, kwa mnaoijuwa vizuri Uvccm hii ya leo kujipendekeza na siasa chafu ndio pride yao.
Hivi katazo lile ni Dar peke yake?Ukifuatilia kwa undani sakata la posho za madiwani na watendaje wengine wa halmashauri za Dar es salaam utagundua ni njia tu za kukomoana na kutafuta 'kiki'. Posho zenyewe zinasemekana ni zile ambazo haziko kisheria. Nikaja kubaini kuwa ni kwa halmashauri za Dar pekee ndizo zimeshikiwa bango. Tusubiri na Gambo wa Arusha nae aje na yake.
Kimsingi Dsm inashikiliwa na upinzani. Walianza kuwanyima mapato yatokanayo na kodi za majengo. Kwamba zitakusanywa na tra na kupelekwa serikali kuu badala ya halmashauri husika. Wakaona haitoshi wakazama kwenye hizo posho ili tu ukawa waweweseke. Kabla ya hapo utaratibu si ulikuwa huu huu?
Hii imekuja katika mazingira ambayo huwezi kuwa na ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa ni njama tu za kisiasa. Lakini pia hatujui na halmashauri zingine zina taratibu zipi za kulipana posho zisizo kisheria. Dsm si kisiwa useme kwamba yanayotokea Dsm hayawezi kutokea mikoa mingine. Dar ni mfano tu kuwa porojo za kisiasa zimeshika kasi
Hapi naye kanda ya ziwa..msukuma wa shinyanga. Tulitegemea vijana waje na constructive idea za kumsaidia Mh. Rais. Hawa sidhani km wanafanyiwa vetting hawa.Kwa akili za kiccm hapo zinamtuma kwamba anamfunika Makonda aonekane alikuwa afanyi kazi aachiwe yeye hiyo nafasi siyo kukaimu tu, wakati hajui Makonda ni wa kwetu kanda ya ziwa.
Huyu Hapi ni zao la Uvccm, kwa mnaoijuwa vizuri Uvccm hii ya leo kujipendekeza na siasa chafu ndio pride yao.
PamojaKweli maana anatamani kuwatawala tena ili kuwafunza kujiheshimu
Sasa ukitaka ustaajabu zaidi huko mawilayani hawa madc eti ndio wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama, imagine DSO anaongozwa na mtu kama huyu wakati hajui know how yoyote ya ulinzi na usalama.Kwani
Hapi naye kanda ya ziwa..msukuma wa shinyanga. Tulitegemea vijana waje na constructive idea za kumsaidia Mh. Rais. Hawa sidhani km wanafanyiwa vetting hawa.