Harakati za maisha

Harakati za maisha

Strong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2021
Posts
426
Reaction score
912
Kama kijana mpambanaji__
Bado najiuliza sana (vijana wenzangu hembu leo tugeane code) (siri) inakuaje kijana alisoma miaka mingi-anavyeti vyenye alama nzuri -hana pakushika -kuna wengine tunapambana miaka nenda rudi bado hatuoni hata dalili yakutoboa
__ila unakuta kujana mdogo (under 30) anamiliki vitu vya thamani (hapo hajasoma kuhusu familia yao ni duni tu) yeye ndo anahela

__tugeane mbinu (code)kama vijana tunafanikiwaje --najua humu kuna vijana wengi waliotoboa maisha wala sio kwa kusoma (wala si pesa zaurithi )
 
Njia ninayoona ya kueleweka ni kuwa freelancer

Huhitaji mtaji wowote ni wewe kujifunza ujuzi na kutumia

Nilifanya kidogo nikapata vihela hela changamoto ikaja kwenye kujitangaza upate new clients

Na kwa wewe mtz una advantage kubwa sana unaweza kucharge low uka-undercut the competition

Nadhani kuna uzi humu nenda jukwaa la biashara
 
Chukua hii kutoka kwangu,jambo la ridhiki latoka Kwa Mungu,yeye humzidishia ridhiki amtakaye katika waja wake na yeye ndiye humpunguzia amtakaye ktk waja wake.

Ndio maana kuna wanao pambana sana lkn mwisho wa siku wako palepale lkn ikifika mda wake anatoboa na kuna yule si mpambanaji sana lkn akifanya jitihada kidogo Anatoboa.

Sisi Kama wanadamu tunatakiwa tuchukue sababu ya kutafuta lkn mtoaji wa ridhiki ni Allah hivyo huna sababu ya kumuonea mtu wivu au husda Coz hajapata kwa ujanja wake na aliyekosa hakukosa kwa ujinga wake.
 
Pamoja sana mkuu
 
Kama kijana mpambanaji__
Bado najiuliza sana (vijana wenzangu hembu leo tugeane code) (siri) inakuaje kijana alisoma miaka mingi-anavyeti vyenye alama nzuri -hana pakushika -kuna wengine tunapambana miaka nenda rudi bado hatuoni hata dalili yakutoboa
__ila unakuta kujana mdogo (under 30) anamiliki vitu vya thamani (hapo hajasoma kuhusu familia yao ni duni tu) yeye ndo anahela

__tugeane mbinu (code)kama vijana tunafanikiwaje --najua humu kuna vijana wengi waliotoboa maisha wala sio kwa kusoma (wala si pesa zaurithi )
Omba mungu toka moyoni acha kusali kinafki [majaribu]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Chukua hii kutoka kwangu,jambo la ridhiki latoka Kwa Mungu,yeye humzidishia ridhiki amtakaye katika waja wake na yeye ndiye humpunguzia amtakaye ktk waja wake.

Ndio maana kuna wanao pambana sana lkn mwisho wa siku wako palepale lkn ikifika mda wake anatoboa na kuna yule si mpambanaji sana lkn akifanya jitihada kidogo Anatoboa.

Sisi Kama wanadamu tunatakiwa tuchukue sababu ya kutafuta lkn mtoaji wa ridhiki ni Allah hivyo huna sababu ya kumuonea mtu wivu au husda Coz hajapata kwa ujanja wake na aliyekosa hakukosa kwa ujinga wake.
Una safari ndefu sana chief
 
Sisi shida yetu ni hela sio ridhiki, hayo mambo ya ridhiki awwape waje wake, ila sisi tunataka hela baaaasi, halafu unaposema kwamba anampa amtakaye,na kumnyima asiyemtaka, unamaanisha nini? Kwamba huyo mungu aliumba ili achague au?? Sasa kama anakupa anachotaka kwanini anataka uombe unachotaka???
There's so fucking faith.
 
Spiritual power inapatikanaje mkuu?

Spiritual power ni nguvu yako ya kiroho , katika MAISHA unabidi kuzingatia kuwa na hicho kitu if you real to get somewhere.

Maintain Cleanest lifestyle
Matanin Honest life
Seek God and bealive in him

Be positive 24/7
Make sure you maintain to having a Good conscience .
Financial education plus personal Growth.

Ukiwa na hivi vitu hata usipokuwa tajiri Ila you can't remain the same.
 
Chukua hii kutoka kwangu,jambo la ridhiki latoka Kwa Mungu,yeye humzidishia ridhiki amtakaye katika waja wake na yeye ndiye humpunguzia amtakaye ktk waja wake.

Ndio maana kuna wanao pambana sana lkn mwisho wa siku wako palepale lkn ikifika mda wake anatoboa na kuna yule si mpambanaji sana lkn akifanya jitihada kidogo Anatoboa.

Sisi Kama wanadamu tunatakiwa tuchukue sababu ya kutafuta lkn mtoaji wa ridhiki ni Allah hivyo huna sababu ya kumuonea mtu wivu au husda Coz hajapata kwa ujanja wake na aliyekosa hakukosa kwa ujinga wake.
Vizuri
 
Vuzuri
 
Sisi shida yetu ni hela sio ridhiki, hayo mambo ya ridhiki awwape waje wake, ila sisi tunataka hela baaaasi, halafu unaposema kwamba anampa amtakaye,na kumnyima asiyemtaka, unamaanisha nini? Kwamba huyo mungu aliumba ili achague au?? Sasa kama anakupa anachotaka kwanini anataka uombe unachotaka???
There's so fucking faith.
Madam, kwanza sijui unaelewa nini khs riziki?

Riziki ni jumla ya neema ambazo Allan anatupa, hata mvua nayo ni riziki, pigia mstari hapo, hata hela au kipato nayo ni riziki.

Sasa kwa taarifa yako,lau Allah angempa kila mtu riziki anayotaka basi tambua watu wangejawa na kiburi Sana na huenda pasingekalika kabisa, ebu angalia mfano tu wa watu wachache walio fanikiwa kimaisha, naamini baadhi umeshawahi kuona vituko na dharau zao,je ingekuwaje kama watu wote tungekuwa nazo?

Aliyetuumba anatujua vzr Sana kuliko ss tunavyojijua, anafanya kila jambo kwa hekima zake, natumaini walau kidogo umepata mwanga
 
Back
Top Bottom