Kwa swali lako hili sidhani hata ukieleweshwa utaelewa!! Iwapo hadi leo hujajua mikakati na misimamo ya CHADEMA ni juu ya nini basi bado tuna safari ndefu! Kila mpenda mageuzi anafahamu CHADEMA wanasimamia nini isipokuwa wewe!!!!! Duu!! Kazi kwelikweli!!!Chadema na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CDM mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua. HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?
Mbona ngonjera?Chadema na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CDM mnatataka
nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate
kujua. HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?
Mnadai kwa kuripua mabomu
Rasilimali za Taifa kugawanywa kwa uwiano sawa kwa wananchi,tofauti na sasa wanaofaidi ni waitwao wawekezaji na wajanja wachache!CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua.
HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?
Haki haidaiwi kwa kuripua mabomu, mnatakiwa muweNilijua tu kwa jinsi bi.chwa lako lilivyojaa mucus. Mada uliyoanzisha, imejidhihirisha namna unaumizwa na harakati za chama pendwa CHADEMA. Makamasi online
Haki haidaiwi kwa kuripua mabomu, mnatakiwa muwe
na mshikamano, msimamo na msinyanyapae makabila madogo na
ndoa za jinsia moja
akili timamu ndio ipi?? Unataka niwe mvuta bangi