Salaam wana JF. Nina dharura ya kikazi. Asubuhi naelekea Kigoma kutoka Bukoba. Sijawahi kufika huko naomba anaejua huko anipe hali ya huko hasa sehemu ya malazi, chakula na mengineyo. Mimi nimejiajiri mwenyewe naomba kuelekezwa guest isiyozidi elfu ishirini. Asanteni.
ainisha unachokitaka
unaenda kigoma sehemu ganna kwa kazi ya muda gani
hivi unazani kigoma ni kijiji?
ni mkoa huu sasa sema unaenda wapi specific
Uwe makini kuna guest za wabembe jamii ya Zana Za Kilimo.... hawa sifa yao kuu ni kula watu (I mean they feed on human beings/viviporus.. )
Mwambie akadake chumba Tanganyika lake beach hotel.Afaidi upepo wa kigoma tena apatechumba ambacho madirisha yanaface beach,mwe ataifurahia kigomaDaka chumba Mwaka Hill, Zanzibar Hill, au Mwanga Lodge. Karibu Kigoma Ujiji