Haraka: Ushauri kuhusu Mji wa Kigoma

Haraka: Ushauri kuhusu Mji wa Kigoma

MWANAWILE

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
277
Reaction score
135
Salaam wana JF. Nina dharura ya kikazi. Asubuhi naelekea Kigoma kutoka Bukoba. Sijawahi kufika huko naomba anaejua huko anipe hali ya huko hasa sehemu ya malazi, chakula na mengineyo. Mimi nimejiajiri mwenyewe naomba kuelekezwa guest isiyozidi elfu ishirini. Asanteni.
 
ainisha unachokitaka
unaenda kigoma sehemu ganna kwa kazi ya muda gani
hivi unazani kigoma ni kijiji?
ni mkoa huu sasa sema unaenda wapi specific
 
Daka chumba Mwaka Hill, Zanzibar Hill, au Mwanga Lodge. Karibu Kigoma Ujiji
 
Mpigie simu zitto kabwela anagesti bubu pale
 
ainisha unachokitaka
unaenda kigoma sehemu ganna kwa kazi ya muda gani
hivi unazani kigoma ni kijiji?
ni mkoa huu sasa sema unaenda wapi specific

Nategemea kukaa siku tatu mkuu na nitakuwa hapo kayikayi ya mji. Natambua kuwa Kigoma siyo kijiji bali mkoa kamili.
 
Uwe makini kuna guest za wabembe jamii ya Zana Za Kilimo.... hawa sifa yao kuu ni kula watu (I mean they feed on human beings/viviporus.. )
 
Uwe makini kuna guest za wabembe jamii ya Zana Za Kilimo.... hawa sifa yao kuu ni kula watu (I mean they feed on human beings/viviporus.. )
Hao Zana Za Kilimo nitawatambuaje?
 
Usitishwe mkuu.Kigoma mji wa kawaida kabisa wenye barabara kuu moja tu!.Toka ujiji hadi sitesheni "ngo umemariza".
 
Kigoma kuna gest za 3000 tu maana pesa huko Ni kitendawili.yaani ukifika na hiyo hela wewe Ni tibaijuka
 
Asante wakuu niko safarini kwa mujibu wa jirani yangu kwenye kiti anasema tumekaribia Kibondo ila barabara ni changamoto kubwa. Mvua imeharibu barabara hii maana hakuna lami ukitokea Nyakanazi kuja uelekeo huu.
 
mkoloni alikosea kabisa kigoma ,ngara,zote ni burundi mijitu mibishi vile itakuwaje mitanzania
 
Daka chumba Mwaka Hill, Zanzibar Hill, au Mwanga Lodge. Karibu Kigoma Ujiji
Mwambie akadake chumba Tanganyika lake beach hotel.Afaidi upepo wa kigoma tena apatechumba ambacho madirisha yanaface beach,mwe ataifurahia kigoma
 
ukapate menyu tanganyika hotel ufukweni nenda zungubeach kulala uliza hilltop kucheki shughuli za uvuvi nenda kibirizi afya ikiyumba nenda kwa lubangila/maweni hospital kucheki boli nenda ukunbi unaitwa the gunnerz
n.kn.k
n.kn.k...
 
Back
Top Bottom