Tugutuke
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 501
- 168
Mzani wa mawe aina ya KULUBI super Close Body wenye Uzani kuanzia 0kg hadi 10kg nauuza.
Upo kwenye hali nzuri saana, nilikuwa nautumia dukani (Nimeutumia almost one year) . Baada ya kufunga biashara ndo nimeamua kuuza.
Kwa anayeuhitaji namuomba tuwasiliane PM.
Bei yake: 85,000/-Tshs
Location: Kibamba
Kama unavyoonekana.