Haraka kama unavyo vitu hivi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haraka kama unavyo vitu hivi.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by KakaKiiza, Feb 20, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,268
  Trophy Points: 280
  Nahitaji Toyota Vitz nina 5ml maongezi yapo mpaka gari niione,Namba kuanzia B...
  Zinahitajika Land Rover Diffender Station Wagon 2 zilizo simama offer 30ml namba nazenyewe ziwe B
  Mwenyekusikia, kuwanazo ani PM Tafadhari tufanye Biashara Utani sihitaji huwe seriously!!RANGI HAIJALISHI.
  Ninasubiri kutoka kwenu asanteni.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu,

  hatuonani?

  kama utapata uhitaji wa Toyota Hiace super custom, reg. T... BXU . ninayo very good condition, just imported from japan,
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kuna landrover pikup 2 kuanzia BPA

  Hauhitaji?
   
 4. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  landrover ipo imetumika miaka 3 unatakiwa ulipe kodi upate na.mpya
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,268
  Trophy Points: 280
  Mbona bango lipo clear STATION WAGON ONLY MKUU!!
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,268
  Trophy Points: 280
  Sawa inauzwa bei gani kwanza tujue na niya mwaka gani ili nikache ushuru itakuwa kiasi gani na iko wapi ndo vitu vya msingi kwa sasa inahitajika Dar.
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Kuna sehemu nimeliona defender,ngoja nikumbuke location kisha ntakujulisha mkuu!
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,268
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeliona limepaki au linauzwa??Take as seriously issue mkuu!
   
Loading...