Happybirthday pretta!........

beer4.jpg


Hongera sana Preta,
Jioni niandalie hicho kitu kwenye party tutakuwa pamoja

asante sana na mnakaribishwa wote kwa mromboo kwa ajili ya mbuzi choma
 
happy_birthday_cake.jpg


Bila kusau hii kitu usinunue nitakuja nayo mwenyewe nimepakia kwa tuktuk
 
Ha ha ha!! hakikisha tuktuk iko well serviced, usije ukafika after party, tukakosa cake bure!!!
 
Preta heri ya siku ya kuzaliwa mpenzi, MUNGU akujalie ufurahie siku hii kwa miaka mingine 50.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom