Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,685 Mar 8, 2014 #1 Dada zangu na wadogo zangu nawatakia sikukuu yenu iwe njema . Nawapenda sana .. Wale ambao hawajaolewa muolewe na wale mlioolewa mubaki njia kuu muache michepuko na hata mkichepuka muwe makini msije mkakamatwa. Attachments image.jpg 11.4 KB · Views: 32
Dada zangu na wadogo zangu nawatakia sikukuu yenu iwe njema . Nawapenda sana .. Wale ambao hawajaolewa muolewe na wale mlioolewa mubaki njia kuu muache michepuko na hata mkichepuka muwe makini msije mkakamatwa.
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,869 Reaction score 32,712 Mar 8, 2014 #2 Asantee mkuu upo, hatimaye leo umeonekana. Karibu sana