Akili gani?Tuna akili, reblack=maroon mtuwache💃🏽
Hili nalo ni jambo ambalo dunia imedanganywa kwa muda mrefu. This is purely simplification.Wanawake wana akili gani?
Mostly huwa mnatumia hisia sio akili.
Duh kumbe ni jumapili?, ndio maana nimeshangaa mbona kwenye daily calendar haimo😅Ni jumapili ila mnaanza kusherehekea leo. Mnapenda shughuli😃
Zamani hizo nikiwa mtoto kila tar 16 mwezi 6 ni siku ya mtoto wa Africa hapo tutaandaa nyimbo, ngonjera, maigizo na michezo mingine, nyie hua mnafanya nini kwenye siku yenu?Wengine tunaanza usiku..