vicheche wa kike au wa kiume? Afu mwenyekiti mie nimeshindwa kusubiri mpaka nitenganishwe na kifo, nimeandika talaka 15 ambazo nitazipitisha ofcn kwako upige sahihi yako tayari kwa kupelekwa kwa Evelyn Salt
ha ha ha niteme babu wewe, mwanaume hata hela huna!!!!!!!!!!!
vyombo vyako nani anavitaka........
hivi uliolewa na mimi au hela ??? umenipukutisha hela zangu nilizokuwa nimejitunzia katika M-PESA ndo maana ukawa hauishi vitimbi eeeeeee?? nakutwanga talaka 50 sasa .
na mwaka huu nimeongoza kwa kuwa na mahindi mengi kijijini mean nitkuwa na pochi ya maana ila sitaki uje kuninyakulia maburungutu yangu. wewe hunifai kabisa mie natafuta pesa mwaka mzima wewe unaiteketeza kwa nusu saa tu?Bila hela usingekuwa wewe, ukivuna mahindi na mpunga wako nitarudi.....
na mwaka huu nimeongoza kwa kuwa na mahindi mengi kijijini mean nitkuwa na pochi ya maana ila sitaki uje kuninyakulia maburungutu yangu. wewe hunifai kabisa mie natafuta pesa mwaka mzima wewe unaiteketeza kwa nusu saa tu?
sa unataka kutunza zitage au?
Nakusubiri ofisini, au unajiremba kwanza ili uje UNIELEZE vizuri!?!!
View attachment 95532 mwenyekiti naomba uzisaini hizo talaka zipo 150. :smash:
E waaaa....!!
View attachment 95532 mwenyekiti naomba uzisaini hizo talaka zipo 150. :smash: