Mfalme wa amani mpeni heshima,
Yerusalemu mjini anaingia,
Kwa unyenyekevu na upole mkuu,
Anampanda punda mwana wa Mungu
Hosana juu, hosana juu, hosana juu!
Mfalme wa amani mpeni heshima,
Yerusalemu mjini anaingia,
Kwa unyenyekevu na upole mkuu,
Anampanda punda mwana wa Mungu
Hosana juu, hosana juu, hosana juu!