Happy Valentine' s day Mwana Jf

Happy Valentine' s day Mwana Jf

dosho12 Seran leo dada Binti wa zamani hamful mko wapi au ndio tuseme mnavalentinika asubuhi asubuhi na mapema?
C74C35FA-D7A5-4D33-A8BA-C9169D8DD36D.jpeg
 
Wakuu, furahia siku ya wapendanao leo. Mimi ni siku ya ndoa yangu,tunaoana na kipenzi changu.

Ndoa inafanyika kahama nyakato mwisho nawakaribisha tusherekee valentine na harusi yangu,usimsahau yule umpendae. Unasherehekea Valentine' s ukiwa wapi?

Ndoa ni jambo jema bro.

Mungu awajalie upendo wa kudumu, amani isiyoisha na furaha tele katika ndoa yenu.
Mkawe mfano wa upendo wa kweli na mshikamano katika Maisha yenu ya ndoa.

Kila la kheri Holoholo
 
Wakuu, furahia siku ya wapendanao leo. Mimi ni siku ya ndoa yangu,tunaoana na kipenzi changu.

Ndoa inafanyika kahama nyakato mwisho nawakaribisha tusherekee valentine na harusi yangu,usimsahau yule umpendae. Unasherehekea Valentine' s ukiwa wapi?
Mimi ni siku mtu ninayempenda sana amenikaribisha kwake anichunuku, value you Lamomy wangu
 
😹😹😹 Nikutunuku??
Mi nakuzingua usije ukafall in love kiukweli bure..!!
Lamomy wangu, mawazo yako yapo sahihi maana imeandikwa; mwanamke huwa hapendi ila huwa anapendwa. Mdogo mdogo tutafika tu.

Kwa mwanaume wa Ukweli akipiga hodi kwa mlango na mwenye nyumba akagoma kufungua, hakati tamaa, anaendelea Kugonga hadi mwenye nyumba akereke na kwa hasira atafungua na kuona nani anasumbua. Hapo lengo la mpiga hodi ilitakiwa limetimia.

Haya si maneno yangu bali ya Jaramogi Odinga (RIP) akielezea kibano cha vyama vingi nchini Kenya enzi za Moi. Good morning
 
Back
Top Bottom