Ni lotion moja nzuri mno ile ya kopo la yellow ndio ninayotumia,mie ngozi yangu ya miguuni ni kavu sana to the extent inakuwa kama inachanika vidraft fulani hv ila toka nmeanza kuyatumia kwakweli ngozi yangu imekuwa nzuri sana...siwezi kupaka lotion nyingine zaidi ya hiyo kwangu its the best body lotion!