Happy sabbath wana jf wote

Tukumbuke kwenda kanisani na zaka na sadaka. Nak ukumbusha usije sema umesahau.
 
Happy Sabath to all remember to keep the Sabath Holly ... Sabato ndio raha pekee iliyobaki kwa Mwanadamu... Sabato njema saaana kwa wote
 
Mimi toka nilipozaliwa kwa mara ya pili(kiroho), katika ufalme wa Mungu muumba niliingia rasmi ndani ya sabato(pumziko) langu. Sikuwahi kurudi tena kazini ila nimedumu pumzikoni(sabato) Yake Yesu daima. Siku za wiki, mwezi au mwaka sii issue kwangu katika kumwabudu Mungu, siiabudu siku wala kuutukuza mwezi. Kama vile Mungu nae alivyo pumzika siku ya saba na hakuwahi kurudi tena kazini kwamba baada ya siku sita angepumzika tena siku ya saba nyingine; vivyo hivyo nami.
NI SIKU KUU SIKU ILE YA KUMKIRI MWOKOZI. SII IJUMAA, JUMA MOSI WALA J/PILI, SII IDD, PASAKA WALA CHRISMASS ILIYO KUU, BALI SIKU ILE NAFSI INAPOGEUZWA KWA KUZALIWA KTK UFALME WA MUNGU NDIO ILIYO KUU.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…