Phenomenon Lady
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 407
- 246
Tuhongereke pamoja, Happy new Year wana MMU woote
DEMBA Heaven on Earth gfsonwin AshaDii mwallu Mentor Judgement Asprin snowhite Kaunga Fixed Point Arushaone Filipo Preta PakaJimmy Mtoto halali na hela Rural Swagga Ennie KOKUTONA Karucee Fidel80 Madame B amu lara 1 Phenomenon Lady na wengineo wooote
Heri na fanaka kwenu nyoote
Heeee hukusikia madebe yakipigwa polee sana. Mwaka mpya teyari rafiki.Hivi mwaka mpya tayari.......?
Asante Mungu kwa kibali na neema ya kuuona mwaka 2014
[QU OTE=Ablessed;8248447]Heeee hukusikia madebe yakipigwa polee sana. Mwaka mpya teyari rafiki.
Hivi mwaka mpya tayari.......?
Dr wengine wanaitafuta tarehe 2 ujue...
hongera mkuu, sisi wengine tulio mbali na bongo hatujauona bado hivyo tunakila sababu ya kukupa hongera ww mwenzetu
Heri ya mwaka mpya kwako pia...