Hapa tunahesabu countdown 50 seconds, vurug full match. Happy new year wadau wa JF. Matumaini yetu nothing personal nawatakia kila la heri Wabongo na WaKenya
Hapa tunahesabu countdown 50 seconds, vurug full match. Happy new year wadau wa JF. Matumaini yetu nothing personal nawatakia kila la heri Wabongo na WaKenya
Mungu ameamua kuniwezesha kuona mwaka mwingine mpya. Shukurani kwake Mola. Haya watani wetu Watz happy new year iliyojaa mafanikio si haba. Wakenya wenzangu happy new year.
Hapa tunahesabu countdown 50 seconds, vurug full match........ Happy new year wadau wa JF.... matani yetu nothing personal nawatakia kila la heri Wabongo na WaKenya
Slum dwellers, Happy new year 2018. Jitahidini mwaka huu 2018 kupunguza unemployment, Njaa, Deni lenu, Uchafu na kukaa kwenye mabanda ya nguruwe. Huu ni ushauri wa bure chukueni.