FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 318
Nani kama mama'jibu ni rahisi hakuna'mlitubeba tumboni miezi tisa hukuchoka'tena waume wengine wakirudi nyumbani wamelewa'lakini ulikuwa mvumilizi miezi tisa ilipokwisha ulijifungua kwa shida sana'na bado hukututupa jalalani ulinilea hata kama aja ndogo na kubwa ulinisafisha'ulivika nguo mpaka kunilisha mpaka sasa nimukuwa naamini'no one like mama'