Happy Looooong Weekend

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Kesho kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na sikukuu mbili kwa mpigo, yaani Eid El Fitr pamoja na Nanenane.

  1. Kwa wale wanaosherehekea Eid El Fitr kesho nawatakia EID MUBARAK!
  2. Kwa wakulima wenzangu nawaambia, "Kulima tutalima tu, tusipolima tutakufa na njaa" siku ya kesho haina maana sana kwetu zaidi ya wafanyakazi ambao hawaendi kazini.
  3. Kwa wale mliokufanya hela ili mkale "Bata, Kuku na kunywa Senetor, Empire na Viroba" nendeni pole pole huku mkichukua tahadhari ya kutosha.
  4. Kwa wale mliopanga kula sikukuu na wake au waume za watu, jueni kila mla cha mwenzie na chake huliwa.
  5. Kwa wale mliokuwa kwenye mfungo wa kweli, Mola awabariki sana, awape furaha ya kumaliza mfungo na pia awape nguvu ya kuanza kufunga sita baada ya sikukuu hii.
Zaidi zaidi nawatakia wote sikukuu njema!​

Zingatia; Kwangu hakuna cha tofauti na siku nyingine hivyo msione sijawakaribisha maana wengi mmeandaa matumbo ya kuwatia hasara wenzenu.

CC; snowhite, Kongosho, AshaDii, Bishanga, charminglady, Mwali, Smile, Preta, Madame B, Lizzy, afrodenzi na wengine wote.......
 
Last edited by a moderator:
ahsante partner ikawe weekend njema na kwako!
 
Mzungu nilimpiga chini, eti ananiletea maua badala ya kunipeleka kwenye kitimoto na bia

Nikaona uzushi, nna ingizo jipya sokoni

Khaaa we nae, haya inajibiwa hivyo hivyo (Mzungu ana kazi)
 
Mzungu nilimpiga chini, eti ananiletea maua badala ya kunipeleka kwenye kitimoto na bia

Nikaona uzushi, nna ingizo jipya sokoni
ahahahahahhah yani aliacha kukupeleka kwenye mdudu na maji machafu akaleta mapenzi ya kwenye maria clara!hhahhhha sipati picha ulivombalasa nayo!
 
Nilimuuliza 'Do you eat grasses?' Akanishasngaa tu, kabla hajanijibu nikamwambia ' Me, tookn't eat'. Nikaendelea 'we will meet in heaven, am goint to find a man who eats hotchair and dirty water'.

Nikasonywa, nikasepa zangu.

aahahahhahaha took kuntu mi mchezo?
lazima alitafuta dikishenare ya kisuriyama!
 
niliona ujinga mtupu

kwenye nanii kwenyewe anaanza na madiskasheni weeeee, badala kupiga mzigo

aahahahhahaha took kuntu mi mchezo?
lazima alitafuta dikishenare ya kisuriyama!
 
niliona ujinga mtupu

kwenye nanii kwenyewe anaanza na madiskasheni weeeee, badala kupiga mzigo

ahahahahahah diskasheni kwani mlikuwa kimbwetani?
si ajabu alikuja na notte book,reference kibao na hadidu za rejea!
akwendeshe huko!
bora ulimbalasa!ila na wewe sasa si ungemwambia aende direct to ze agenda?
 
Mzungu nilimpiga chini, eti ananiletea maua badala ya kunipeleka kwenye kitimoto na bia

Nikaona uzushi, nna ingizo jipya sokoni
Hahahahaa anakuja na mbwembwe za kuficha hayo maua nyumba halafu anapiga kelele "Supriiise!" wakati we ushazoea mdudu na bierre ........
 
mimi pia partner !
umekuwa adimu sana siku hz ,sijui ndo mashamba ya mpunga bado mavuno!
sio vizuri hivo
Partner si unajua tena mvua ya siku hizi haitabiriki kama ushindi wa Tanzania basi balaa tupu ndio nilikuwa nalima mfereji toka mtoni kusogeza karibu na shamba
 
Nilimuuliza 'Do you eat grasses?' Akanishasngaa tu, kabla hajanijibu nikamwambia ' Me, tookn't eat'. Nikaendelea 'we will meet in heaven, am goint to find a man who eats hotchair and dirty water'.

Nikasonywa, nikasepa zangu.
Duh! Yale mainfatuation yaliwa yameisha eeh? Maana ile zamani ulikuwa kumuona tu unatepeta sasa umemtoa nduki! Haya karibu kitu moto na empire pembeni...............mwisho unateremshia ugoro kama machalii wa Arusha
 
Partner si unajua tena mvua ya siku hizi haitabiriki kama ushindi wa Tanzania basi balaa tupu ndio nilikuwa nalima mfereji toka mtoni kusogeza karibu na shamba

fanya hima bana !usipotee hivo!
maisha yanakuwa sio mepesi kihivyoooo!
 
ahahahahahah diskasheni kwani mlikuwa kimbwetani?
si ajabu alikuja na notte book,reference kibao na hadidu za rejea!
akwendeshe huko!
bora ulimbalasa!ila na wewe sasa si ungemwambia aende direct to ze agenda?
Partner unajua wengine wamepitia Academy so kila kitu wamefundishwa na wanataka kiende kwa stages na protocal na hapo ndipo wanapobugi meeen! Akakutana na Konny..............!
 
Si unakua huwa wanainama kwa mbele afu mikono nyuma? Nikaishika tai ikawa balansi ya kumchapia kibao

Hahahahaa anakuja na mbwembwe za kuficha hayo maua nyumba halafu anapiga kelele "Supriiise!" wakati we ushazoea mdudu na bierre ........
 
Yale bana yamepungua

Ila kumbuka mtalaka hatongozwi.

Duh! Yale mainfatuation yaliwa yameisha eeh? Maana ile zamani ulikuwa kumuona tu unatepeta sasa umemtoa nduki! Haya karibu kitu moto na empire pembeni...............mwisho unateremshia ugoro kama machalii wa Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…